Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

Pole sana. Ila naomba nikushauri usithubutu kukubali kutimika kisiasa. Tunajua kuna vita kubwa sana Arusha.

Gambo Vs Lema
Madiwani Vs Mkurugenzi

Sasa kuwa makini, usikubali kutumika. Mtangulize Mungu, Familia yako na Ndugu zako. Hao wengine watakaopenda kukutumia wao watakuwa na furaha na familia zao kama utapoteza kazi

Umempa ushauri Mzuri sana na watu watakaopinga ushauri wako ni wale waliojipanga kumtumia kisiasa!
 
Tuwe tu makini na hizi habari maana tangu Lema amenyamazishwa, anaweza akaja kwa staili nyingine ya kulivuruga jiji. Mtekaji gani akuteke, akueleze kosa lako, halafu akuachie?
Meanza kumuogopa lema kama Lowassa? Hivi lema angetoa wapi mpaka ushaidi wa barua za kupandishwa cheo?
 
Tuwe tu makini na hizi habari maana tangu Lema amenyamazishwa, anaweza akaja kwa staili nyingine ya kulivuruga jiji. Mtekaji gani akuteke, akueleze kosa lako, halafu akuachie?
Mapungufu au upuuzi wa watekaji haiwezi kuwa sababu ya kufanya tusiamini uwepo wa tukio la utekaji haraka kiasi hiki. Wakati mwingine tukio la utekaji huweza kupangwa kipuuzi kutegemea na malengo ya watekaji au mfadhili wa utekaji wenyewe. Umakini unaotaka tuwe nao ni pamoja na wewe kutoharakisha kupuuza utekaji kwa sababu ya upuuzi wa watekaji!
 
Back
Top Bottom