Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

Umempa ushauri Mzuri sana na watu watakaopinga ushauri wako ni wale waliojipanga kumtumia kisiasa!
 
Tuwe tu makini na hizi habari maana tangu Lema amenyamazishwa, anaweza akaja kwa staili nyingine ya kulivuruga jiji. Mtekaji gani akuteke, akueleze kosa lako, halafu akuachie?
Meanza kumuogopa lema kama Lowassa? Hivi lema angetoa wapi mpaka ushaidi wa barua za kupandishwa cheo?
 
Tuwe tu makini na hizi habari maana tangu Lema amenyamazishwa, anaweza akaja kwa staili nyingine ya kulivuruga jiji. Mtekaji gani akuteke, akueleze kosa lako, halafu akuachie?
Mapungufu au upuuzi wa watekaji haiwezi kuwa sababu ya kufanya tusiamini uwepo wa tukio la utekaji haraka kiasi hiki. Wakati mwingine tukio la utekaji huweza kupangwa kipuuzi kutegemea na malengo ya watekaji au mfadhili wa utekaji wenyewe. Umakini unaotaka tuwe nao ni pamoja na wewe kutoharakisha kupuuza utekaji kwa sababu ya upuuzi wa watekaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…