KUCHITIMBO1970
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 482
- 221
Akili zako ndogo kuelewa akusema mtekaji anamjua ila kwajinsi mtekaji alivyo mwita nikama anamfahamu huyo mwalimu hivyo mwalimu akuwa na wasiwasi kusalimiana naye .umeelewa wetoto ndogoHii Habari inamchezo
Na kwa vile ni Arusha,sishangai kabisaaa
Haya ndio yale mambo ya yule Mwaandishi wa Habari wa DW wa Zanzibar aliesema katekwa,leo kimyaa baada ya kuumbuka.
Sasa ni ngum saana kwa mtekaji kujieleza namna ile,na ni ngum saana mtekaji kuwa mnajuana halafu yeye ndio afanye tukio.Na pia uwezo wa kupambana na watu mpaka ukavunja kioo cha gari,labda iwe ni ushahidi tu,lakini ngum saana mtekaji kukuachia wazi kirahisi namna hiyo.
Ukweli utajulikana,ila Pole saana,na hope utasaidiwa
Ila Mshahara wa dhambi siku zote ni mauti
Angekuwa mwanafunzi kapewa kichapo wangekuwa wamechukua hatua lakini sasahivi siyo Mwigulu, wala waziri wa wizara husika wala RC aliyechukua hatua hii nitofauti kabisa na waluchokifanya kwenye sakata la denti kupikwa wakati hili ni baya zaidi...Namshauli huyo mwalimu akafanyiwe vipimo binafsi vya HIV jambo kama hilo linaweza kuusisha hata hao polisi wanaodai kumwokota uenda wana huusiano na watekaji sikuizi ni polisi wachache waaminifu mbele ya haki tunamtaka raisi ashugulikie ili swala mwenyewe
mtu anaongea ugali we unawaza mavi....hivyo vita...wpi wanatumia walimu kama siraha?Pole sana. Ila naomba nikushauri usithubutu kukubali kutimika kisiasa. Tunajua kuna vita kubwa sana Arusha.
Gambo Vs Lema
Madiwani Vs Mkurugenzi
Sasa kuwa makini, usikubali kutumika. Mtangulize Mungu, Familia yako na Ndugu zako. Hao wengine watakaopenda kukutumia wao watakuwa na furaha na familia zao kama utapoteza kazi
Haifunguki mkuu.nani anaweza kumshauri MWALIMU huyu, amsaidie kabla hajapata madhara makubwa zaidi.
[QUOTNE="mahoza, pNost: 18338629, member: 73729"]
Mh.Catherine Magige umafia kauanza siku nyingi!
Kasogezewa Katibu Tawala Mkoa,wayaendeleze mema mengi waliyoyaanzisha huko nyuma.