Mwalimu gani mkali ushawahi kukutana nae katika maisha yako ya shule...!!!??

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
wakuu,
katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya msingi lugalo niliposoma kulikua na Mwl.Chavala,Mwl.Kinyogori,Mwl.Bango,Mwl.Getwa,Mwl.Buchwa aisee hawa walimu sitawasahau kamwe. maticha,walikua wana mwaga stiki kama hawana akili nzuri aisee,
then makongo kulikua na Kisarika, Yeyeye,Malongori na Afande Miraji (thou hakua mwalimu). ebana kuna siku tulipata msala asembo baada ya kuimba vibaya wimbo wa taifa, huwezi amini marehemu Afande Miraji single-handedly alizungusha stiki shule nzima kwanzia form 1-6 pale asembo af akarudia raundi mbili. kuna jamaa kesho yake akaomba uhamisho baada ya kukamatwa tena na afande miraji hakwenda zamu akala stiki 15 za adabu. vp mwl gani ushakutana nae hadi leo huwezi msahau?
 
Marehemu Miraji ni nouma RIP huyu alikua kamanda na haogopi kitu
 
Lakini unafikiri walikuwa wamakuoneeni ?
wakuu,
katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya msingi lugalo niliposoma kulikua na Mwl.Chavala,Mwl.Kinyogori,Mwl.Bango,Mwl.Getwa,Mwl.Buchwa aisee hawa walimu sitawasahau kamwe. maticha,walikua wana mwaga stiki kama hawana akili nzuri aisee,
then makongo kulikua na Kisarika, Yeyeye,Malongori na Afande Miraji (thou hakua mwalimu). ebana kuna siku tulipata msala asembo baada ya kuimba vibaya wimbo wa taifa, huwezi amini marehemu Afande Miraji single-handedly alizungusha stiki shule nzima kwanzia form 1-6 pale asembo af akarudia raundi mbili. kuna jamaa kesho yake akaomba uhamisho baada ya kukamatwa tena na afande miraji hakwenda zamu akala stiki 15 za adabu. vp mwl gani ushakutana nae hadi leo huwezi msahau?
 
Mmmh ucinikumbushe cc wachelewaji miraji alichokuwa anatufanyaa sina ham
mkuu mimi alishawahi kunipa lift mwenge nilikua nimechelewa siku hiyo af kufika getini akaanza kunihoji kwann nimechelewa wakat ye mwenyewe ndio alinipa lift. aisee nilibeba madumu 50 siku hiyo kumwagilia bustani na bado nikala stiki 10 akaniambia hiyo ni BAKSHISH kwajili ya kuchelewa then akanambia niseme asante afande kwa bakshish
 
Nimemkumbuka Mel karumuna na Mel jaalia pale tumaini p/school bukoba ilikuwa ni laana
 
me hadi leo namkumbuka mwalimu wangu wa la sita pale msewe pr school mwalimu mlekano alikuwa anafundisha sayansi alikuwa mkali balaaaaaa

alikuwa mkali balaaaaa tena wa kike akiingia darasani hataki akute hata punje ya ubuyu na ole wako katika eneo lako akute uchafu

pia ukiandika somo lake hakuna kuacha msitari ule wa title hata kama sio kichwa cha habari sentensi inaanzia pale juu ole wake mtu asahau

alichokuwa anatuacha hoi ilikuwa hakuna kucheka kams mtu kakosea kujibu swali ukicheka unaaambiwa ucheke mpaka mwisho wa kipindi

na kama umefanya kosa anakupiga bonge la bao la mgongo na hiyo hakuna kujigusa unasukilizia maumivu kimya kimya tuliiiiiiiiiii
na kama kuna mtu kajibu swali nyuma yako hakuna kugeuka na ukigeuka anasema et umempenda anakwambia uende kwenye dawati lake ukakae nae umwangalie mpaka ham iiishe pata picha kama ni gender tofauti
 
hahaha daah mkuu huyo mwalimu wenu alikua kiboko aisee duuh? Inaonekana mlikua mnafurahi sana kengele ya kutoka ikigongwa
 
Kuna kitu kilikuwa kinaitwa Mwakalindile... Ifunda Technical Secondary. Tulizowea kumwita Brigedia...
 
Kitoksya(RIP) Meta sec. Nilikua pale 2003-2005
 
Mi namkumbuka mwl.MBUNDA pale Munanila secondary alivyonimiminia fimbo nikiwa form one eti kisa sikwenda kulisha Ng'ombe wa shule wakati wa likizo.
 
Back
Top Bottom