Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja
Wewe maadam jenifer unanimaliza sana kwakweli yaan unataka kunitoa roho aisee
Kwanza umeumbika ile mbaya hiyo wezele, hiyo rangi yako ya mtume ndo usiseme
Hilo jicho lako la madaha jinsi unavyoniongereshaga kwa tabasam na upole upole
Unanimaliza maadam kama utapita hapa jua fika kwako nimekufa na nimeoza
Niko tiar hata kuacha shule kwa ajili yako madam
Mungu saidia huyu maadam awepo jf, kama hayupo bas ajiunge hata leo aje asome huu ujumbe
Ni mimi mwanafunz wako maya boy
LONDON BOY