Mwalimu Jenifer unanimaliza sema huwa naogopa kukwambia

Mwalimu Jenifer unanimaliza sema huwa naogopa kukwambia

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja

Wewe maadam jenifer unanimaliza sana kwakweli yaan unataka kunitoa roho aisee

Kwanza umeumbika ile mbaya hiyo wezele, hiyo rangi yako ya mtume ndo usiseme

Hilo jicho lako la madaha jinsi unavyoniongereshaga kwa tabasam na upole upole

Unanimaliza maadam kama utapita hapa jua fika kwako nimekufa na nimeoza

Niko tiar hata kuacha shule kwa ajili yako madam

Mungu saidia huyu maadam awepo jf, kama hayupo bas ajiunge hata leo aje asome huu ujumbe

Ni mimi mwanafunz wako maya boy

LONDON BOY
 
Dogo achana na madam....utamu unao mwenyewe kwa Madame unatafuta utelezi tu..piga punyeto ujinga ukutoke..unless kichwa cha chini kitakufilisi na kukuadhiri hakinaga simile. Mimi natumia kichwa cha juu chenye nywele kile cha chini kisicho na nywele nakipa lotion ya revola au sabuni ya give. [emoji23]

Jiunge na sisi kwenye CHAMUGATA (chama cha mugalala Tanzania).
 
Dogo achana na madam....utamu unao mwenyewe kwa Madame unatafuta utelezi tu..piga punyeto ujinga ukutoke..unless kichwa cha chini kitakufilisi na kukuadhiri hakinaga simile.

Jiunge na sisi kwenye CHAMUGATA (chama cha mugalala Tanzania).
Duh mkuu hicho chama kinapatikana wap nijiunge nacho
 
Duuh enzi zile mwalimu wako wa darasa ni mkali balaa lkn "unakula kwa macho''
Umenikumbusha mbaali ngosha
 
Nilipokuwa Darasa la Tatu, mwalimu wangu alinipenda sana akawa ananiita ''Mchumba wangu " kila akiniona.

Waliokuwa Darasa la saba wakati wakawa wananitania sana, mimi nlichukia sana, ila baadae alikuja kuacha kuniita hivyo na akaja kuhama shule akarudi kwao Arusha
 
Yupo avatar yake hiyo hapo, username ni homework kwako
IMG_201806154_061935.jpg
 
Jamaa hata kuimba chorus ikapambika maadam akaingia Uchaa bado

Imenibidi nikomee njiani
 
Back
Top Bottom