DOKEZO Mwalimu Jimmy: Shule ya Sekondari Pandahill

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

lubajaro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
1,257
Reaction score
365
Nashauri Rais WA TEC, Padri Gervais Nyaisonga, ambaye pia alishawahi kuwa Mkuu wa Shule ya Pandahill wamuondoe Mwalimu huyu katika hii shule ya Pandahill.

Amehusishwa na upotevu wa Mwanafunzi wa Kidato cha Tano Mchepuo wa PCB. Jina linahifadhiwa

Nawasilisha Ushauri huu Kwa Rais WA TEC
 
Unahifadhi jina wakati linajulikana?Acha mbwembwe.
 
Nashauri Rais WA TEC, Padri Gervais Nyaisonga, ambaye pia alishawahi kuwa Mkuu wa Shule ya Pandahill wamuondoe Mwalimu huyu katika hii shule ya Pandahill.

Amehusishwa na upotevu wa Mwanafunzi wa Kidato cha Tano Mchepuo wa PCB. Jina linahifadhiwa

Nawasilisha Ushauri huu Kwa Rais WA TEC
Maranyingi tunasema usitamke neno hadi uwe na ushahidi angalau wa kitu kimoja kati ya mengi unayodhania.

Huyo mwanafunzi kapatikana kwa mama mmoja huko maeneo ya ifisi, akiwa ametelekezwa na baba Jose - muuza mkaa.

Mwalimu aliyeshikiwa bango ataoshwaje hili vumbi alilomwagiwa?
 
Back
Top Bottom