Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukipima matokeo kwenye utumishi umma hakuna bosi atakayebakia...katika maisha yangu ya private sectors nimejifunza kupanda cheo ni zaidi ya vyeti... ukienda airtel, voda, puma, total, bollore, halliburton, TCC, TBL kuna mabosi wengi sana ambao hawana masters kabisa.... na wanakula mishahara ya kufa mtu..
wawekezaji wanataka results,, hawana haja na vyeti vingi... mtu anaefikia malengo na ana add value kwenye kampuni ndie wanampa mavyeo....
...Nimeona kwenye halmadhauri au manispaa wenye masters wanaenda wilayani kupewa vitengo.Uko shule nn? Kufanya masters ni msiba
We itakuwa sio mwl hao ni wawili kwa 1000 pia kitengo cha afisa elimu msingi/sekondari angalau unamshahara wa mkuu wa idara the rest njaa tupu hakuna kitu title tu cheo kiendane na pesa...bora ukuu wa shule kuna 250....Nimeona kwenye halmadhauri au manispaa wenye masters wanaenda wilayani kupewa vitengo.
No sipo shule, masters nilifanya zamaniUko shule nn? Kufanya masters ni msiba
....Katika walimu kumi ninaowafahamu waliojiendeleza 8 maisha yao yalibadilika than it before. Mimi siyo mwl...We itakuwa sio mwl hao ni wawili kwa 1000 pia kitengo cha afisa elimu msingi/sekondari angalau unamshahara wa mkuu wa idara the rest njaa tupu hakuna kitu title tu cheo kiendane na pesa...bora ukuu wa shule kuna 250.
Mi nazungumzia kwa majority ...mfano mjeshi /polisi akifanya masters anachange kila kitu ndugu
95% ya viongozi wa elimu ni njaa tupu
Hao walisoma wakiwa na connection tayari, hapa bongo ukisoma bila kuwa na ahadi utarudi na hakuna atakayejua kuwa umesoma.....Katika walimu kumi ninaowafahamu waliojiendeleza 8 maisha yao yalibadilika than it before. Mimi siyo mwl...
Acha chaiUSISOME KWA KUTAFUTA VYEO VYA MSHAHARA VINGINEVYO UNAJITAFUTIA VIDONDA VYA TUMBO BURE.
SOMA KWA KUONGEZA MAARIFA ILI UTUMIE MAARIFA HAYO KUPATA FURSA ZINAZOENDANA NA ELIMU YAKO KISHA PAMBANA NA HALI YAKO.
MASTERS YA ELIMU KUTOTAMBULIKA KUSIKUFANYE UKATE TAMAA, ITUMIE MASTERS HIYO KUTAFUTA FURSA NDG MAANA MSHAHARA HATA UNGEONGEZWA UTAKUWA NA MAKATO ZAIDI.
We ndugu umeshindwa kusoma masters nn mbona umekomaa hivyo?! Waache wanaosoma na wanaotaka kwenda kusoma hyo kitu kwa maana ni hela yao wanapoteza na c yako. Cha msingi tuwashauri kwamba wasiende kusoma kwa kutegemea wakimaliza tu watapanda vyeo na kuwa na muonekano tofauti. Wakati mwingine nafasi huja ktk muda usioutarajia,na nafasi hzo huweza kuzipata kutokana na kuwa na sifa Fulani pengine moja ya sifa hzo yaweza kuwa hyo Masters. So waache kwa wanaoweza kusoma wakasome,na ni vizuri ukawa na hazina ndugu.Acha chai
Pole sanaWe ndugu umeshindwa kusoma masters nn mbona umekomaa hivyo?! Waache wanaosoma na wanaotaka kwenda kusoma hyo kitu kwa maana ni hela yao wanapoteza na c yako. Cha msingi tuwashauri kwamba wasiende kusoma kwa kutegemea wakimaliza tu watapanda vyeo na kuwa na muonekano tofauti. Wakati mwingine nafasi huja ktk muda usioutarajia,na nafasi hzo huweza kuzipata kutokana na kuwa na sifa Fulani pengine moja ya sifa hzo yaweza kuwa hyo Masters. So waache kwa wanaoweza kusoma wakasome,na ni vizuri ukawa na hazina ndugu.
Ungejua alichokwambia huyo Mkuu ndiyo ukweli wa asilimia mia, wala usingemtolea kashfa! Rejea malengo matatu ya elimu Tanzania then rudi hapa.Acha chai