Mwalimu kufanya masters ya ualimu ni kuongeza stress za maisha....

Mwalimu kufanya masters ya ualimu ni kuongeza stress za maisha....

Soma master kama akiba nyakati huwa zinabadilika kuna wakati wa kupanda na wakati wa mavuno tunza cheti chako
 
katika maisha yangu ya private sectors nimejifunza kupanda cheo ni zaidi ya vyeti... ukienda airtel, voda, puma, total, bollore, halliburton, TCC, TBL kuna mabosi wengi sana ambao hawana masters kabisa.... na wanakula mishahara ya kufa mtu..

wawekezaji wanataka results,, hawana haja na vyeti vingi... mtu anaefikia malengo na ana add value kwenye kampuni ndie wanampa mavyeo....
Mshike sana elimu husimwache aende zake...........
 
Hii safari ya kwenda shule za msingi itawakumba wenye masters wangapi? Itapendeza kulijua hili.
 
Kuna jamaa zangu Wamesoma Master's ni Walimu nawaonea huruma tuu wamejitesa bure wanaanza kuhaha kukimbilia Uafisa Ofisi za Halmashauri na kupandishwa madaraja.Ukiamua kusoma ongeza maarifa siyo kulilia Vyeo na kupanda madaraja.
 
Diploma-digrii#safi
Cheti-diploma#safi
TAMISEMI haitambui masters
Kama unabisha soma utaisoma namba na stress juu....
Kinachohudhi mshahara haupandi kamwe...
NB: km umepewa ahadi ya cheo kasome....
Tunasoma ili tupate skills za kupambana na mazingira siyo kutafuta vyeo serikalini tu.Nadhani swala la msingi ni kuwa makini tunapochagua kozi za kusoma.
 
NINAENDA KUSOMA MASTER OF EDUCATION IN CURRICULUM STUDIES,,,, siwezi kuweka maanani mawazo yako.... Baada ya masomo nitarudi kazini na kufanya kazi kwa miaka 3 halafu niombe ruhusa nifanye Phd. KWAHERI
 
NINAENDA KUSOMA MASTER OF EDUCATION IN CURRICULUM STUDIES,,,, siwezi kuweka maanani mawazo yako.... Baada ya masomo nitarudi kazini na kufanya kazi kwa miaka 3 halafu niombe ruhusa nifanye Phd. KWAHERI
Safari njema uendako
 
Back
Top Bottom