Mwalimu kufanya masters ya ualimu ni kuongeza stress za maisha....

Mwalimu kufanya masters ya ualimu ni kuongeza stress za maisha....

Diploma-digrii#safi
Cheti-diploma#safi
TAMISEMI haitambui masters
Kama unabisha soma utaisoma namba na stress juu....
Kinachohudhi mshahara haupandi kamwe...
NB: km umepewa ahadi ya cheo kasome....
Kwanza na uwalimu wenyewe NI stress tosha ndio maana niliachaga me nilipoona hakuna future,na Allah Bariki Maamuzi yangu yalikuwa Sahihi japo nilipitia Moto ila now 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom