Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 942
- 2,272
Na wewe inaonekana kwa aka yako hiyo unazimeza kabisaTatizo hamnywi bia mnakunywa double kiki mnaanza kusinzia hamfundishi watoto..!!
Anapaswa kupongezwa na kutiwa moto sana! Walevi ndio walipa kodi wakubwa TanganyikaKuna viongozi wanawaonea.sana wenzao.
Kosa liko wazi mwalimu kujiramba katikati ya mwezi? Kabia kamoja au tuwili kwa afya jamani waacheni
Mhm local bia na hata premium sio za kumshinda mwalimuMwalimu anapata wapi pesa ya kunywa bia tarehe 15?
Uliona tukisinziaTatizo hamnywi bia mnakunywa double kiki mnaanza kusinzia hamfundishi watoto..!!
Na wewe inaonekana kwa aka yako hiyo unazimeza kabisa
Kipande cha chupa ya beer?Kuna jirani yangu aliwahi kumeza chupa ya bia accidentally.
Bia nzima kabisa.Kipande cha chupa ya beer?
Bia nzima kabisa.
Ndio 😹Uliona tukisinzia
Mi sio mwalimu mpaka nilewe hovyo..!!Na wewe inaonekana kwa aka yako hiyo unazimeza kabisa
Anapaswa kupongezwa na kutiwa moto sana! Walevi ndio walipa kodi wakubwa Tanganyika
Tutake radhiNdio 😹
Tena zikiwazidia mnajikojolea wanafunzi wanawasindikiza na nyimbo ya “bia tamu”
Lamomy mbona unatusimanga sana sanaa 😊 sisi wanywa double kick..Tatizo hamnywi bia mnakunywa double kiki mnaanza kusinzia hamfundishi watoto..!!