kunywa bia dhambi ni anasa isiyo ya lazima.Kuna viongozi wanawaonea.sana wenzao.
Kosa liko wazi mwalimu kujiramba katikati ya mwezi? Kabia kamoja au tuwili kwa afya jamani waacheni
kunywa maji ni bora kuliko mapombe pombe
kunywa bia dhambi ni anasa isiyo ya lazima.Kuna viongozi wanawaonea.sana wenzao.
Kosa liko wazi mwalimu kujiramba katikati ya mwezi? Kabia kamoja au tuwili kwa afya jamani waacheni
Bwashee za mdaLamomy mbona unatusimanga sana sanaa 😊 sisi wanywa double kick..
Mzima kabisa bwashee, kitambo sijakuona jukwaaniKaka kaka kaka
Mzima wewe...
Tunapishana mzeee..Mzima kabisa bwashee, kitambo sijakuona jukwaani
Shida nini mkuu wacha mambo yako.
Mkuu hio uliyonipa ni cappuccino sio chai..Shida nini mkuu wacha mambo yako.
Sitaki 😹Tutake radhi
😹😹😹 Mkilewa mnaanza kutuchoma powercef hata kama tunaumwa flu…Lamomy mbona unatusimanga sana sanaa 😊 sisi wanywa double kick..
Karibu konyagiiii😹😹😹 Mkilewa mnaanza kutuchoma powercef hata kama tunaumwa flu…
Ukorofi wako unajulikanaSitaki 😹
Mimi niliwahi shuhudia mzee mmoja alikunywa bia yote akatafuna chupa yote ya biaBia nzima kabisa.