kunywa bia dhambi ni anasa isiyo ya lazima.Kuna viongozi wanawaonea.sana wenzao.
Kosa liko wazi mwalimu kujiramba katikati ya mwezi? Kabia kamoja au tuwili kwa afya jamani waacheni
Bwashee za mdaLamomy mbona unatusimanga sana sanaa ๐ sisi wanywa double kick..
Mzima kabisa bwashee, kitambo sijakuona jukwaaniKaka kaka kaka
Mzima wewe...
Tunapishana mzeee..Mzima kabisa bwashee, kitambo sijakuona jukwaani
Shida nini mkuu wacha mambo yako.
Mkuu hio uliyonipa ni cappuccino sio chai..Shida nini mkuu wacha mambo yako.
Sitaki ๐นTutake radhi
๐น๐น๐น Mkilewa mnaanza kutuchoma powercef hata kama tunaumwa fluโฆLamomy mbona unatusimanga sana sanaa ๐ sisi wanywa double kick..
Karibu konyagiiii๐น๐น๐น Mkilewa mnaanza kutuchoma powercef hata kama tunaumwa fluโฆ
Ukorofi wako unajulikanaSitaki ๐น
Mimi niliwahi shuhudia mzee mmoja alikunywa bia yote akatafuna chupa yote ya biaBia nzima kabisa.