Binadamu sisi baadhi yetu ni wapumbavu sana especially Tanzanians,hata kama una cheo gani kiumbe mtu wote mnategemea pumzi msiyojua inatoka wapi kwanini kukomoana.Na hiyo ndo ya kufikiria sana kwanini..Na jibu ni moja tu lengo ni kumuathiri kisaikolojia na kumtengenezea mazingira katika kituo kipya ili ashindwe kuhimili kazi
Unadhani wait hawataki fulsa? Kufa kufaana bwana.Waalimu wanachama wa CWT - Chama cha Waalimu Tanzania waonyeshe solidarity na waandamane kupinga viongozi wao kuburuzwa na watawala.
Pesa sio kisuuza roho!Sasa unajua pesa aliyokuwa anapata kama Katibu Mkuu CWT ni kubwa na Ingeweza kulingana na Pesa ya Mkuu wa wilaya...
Ila kwa sasa anapelekwa kurudi kama Mwalimu mwandamizi Daraja A unajua anapata kiasi gani na atafundisha Shule ya msingi unajua udhalilishaji na majuto atakayopata maana hata diwani atakuwa boss wake sasa....KIPI NI BORA?
Kumbe yupo town,Temeke!!Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho ..
HATIMAYE RASMI SASA BWANA HUYO KUKIONA CHA MOTO KWA KURUDISHWA KITUO CHAKE CHA KAZI KAMA MWALIMU MWANDAMIZI DARAJA A KATIKA MANISPAA YA TEMEKE....
Ikumbukwe kwamba Ndg JAPHET MAGANGA na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo JanuaRy mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri..(Hii imedhihirisha usemi wa Aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke..Maelezo yote yapo kwenye barua...
View attachment 2759638
Kwamba tukimuona anajifanya yupo CWT tumkamate na kumrudisha Temeke ShuleKwahiyo huyo Mkurugenzi ameshindwa kuwasiliana na huyo Mwalimu moja kwa moja mpaka autume umma ukampelekee ujumbe?
Dah nimecheka aisee 🤣🤣🤣🤣Kwamba tukimuona anajifanya yupo CWT tumkamate na kumrudisha Temeke Shule
Siyo kila mtu anaweza kuwa mkuu wa wilaya. Ni kazi ambayo unatakiwa uipende ili kutumikia wananchi wa kawaida - mizengwe ni mingi sana kwenye kazi hizo za kisiasa. Ni bora kukataa kuliko kutimuliwa na kupata mfadhaiko wa akili.Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho ..
HATIMAYE RASMI SASA BWANA HUYO KUKIONA CHA MOTO KWA KURUDISHWA KITUO CHAKE CHA KAZI KAMA MWALIMU MWANDAMIZI DARAJA A KATIKA MANISPAA YA TEMEKE....
Ikumbukwe kwamba Ndg JAPHET MAGANGA na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo JanuaRy mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri..(Hii imedhihirisha usemi wa Aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke..Maelezo yote yapo kwenye barua...
View attachment 2759638
Ndiyo watawala wako hao. Siku zote wanatumia njia za aina hii ili kutengeneza mazingira ya kuogopwa.Mantiki ya taarifa za mwajiriwa kuwekwa hadharani ni zipi?
Alipaswa apewe barua yake kisha aripoti kazini. Kubandikwa kwenye mbao za matangazo ni upuuzi usio na maana.
Mbona kabla ya hapo, vibali vyake havikuwa wazi?
Pathetic!.
Kwa unamaanisha vetting ya mweshimiwa Rais haikuwa sAwa kumchaguaSiyo kila mtu anaweza kuwa mkuu wa wilaya. Ni kazi ambayo unatakiwa uipende ili kutumikia wananchi wa kawaida - mizengwe ni mingi sana kwenye kazi hizo za kisiasa. Ni bora kukataa kuliko kutimuliwa na kupata mfadhaiko wa akili.
Ualimu ni wito mkuu ukilitambua hilo hautopata tabu katika ualimu.Sasa unajua pesa aliyokuwa anapata kama Katibu Mkuu CWT ni kubwa na Ingeweza kulingana na Pesa ya Mkuu wa wilaya...
Ila kwa sasa anapelekwa kurudi kama Mwalimu mwandamizi Daraja A unajua anapata kiasi gani na atafundisha Shule ya msingi unajua udhalilishaji na majuto atakayopata maana hata diwani atakuwa boss wake sasa....KIPI NI BORA?
Ni kama kuna kitabu kimoja nimetoka kukisoma mchana kwamba matatizo huwa yanatengenezwa nawao kisha wanapoyatatua mbele za wananchi wapate misifaNdiyo watawala wako hao. Siku zote wanatumia njia za aina hii ili kutengeneza mazingira ya kuogopwa.
Ningekuwa mimi ndiyo huyo Mganga, nisingeripoti hiyo tarehe 1 Oktoba. Halafu wakinifukuza kazi yao, poa tu.
Huyo ni shujaa.Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!
Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.
Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;
View attachment 2759638
Hata DC ni yale yale tu; even worse. Bora hata hiyo ya michakato ya kiutumishi kuliko maamuzi ya mtu mmoja ambaye ana hiari ya kukubali au kukataa ushauri wowote.Huu hapa 🤣🤣 nahisi alidanganywa na wtu akasahau nyadhifa aliyo nayo ni nyadhifa ya Kuhitaji Kibali kwa mteuzi wa mtu aliyeteuliwa na yule ambaye yeye amemgomea uteuzi wake (Yaani kifupi aliyemuonyesha dharau)
Umeshaambiwa uache upumbavu. Hivi kukataa uteuzi unaonekana huna akili? Kila mtu ana namna yake ya kuishi na inayompa furaha.Alikataa TEUZI.. ya MKULU?
ALAFU Waalimu sijui wana AKILI gani, wengi akili zao ni FUPI FUPI.
Ni mjinga pekee ambaye anaweza kukataa Uteuzi wa kutoka Ualimu kwenda Ukuu wa WILAYA.
Huyo alikuwa na TARGET zake na bahati nzuri kajaa kwenye MFUMO.
Sawa. Ndio kasharudi kuwa MWALIMU.Umeshaambiwa uache upumbavu. Hivi kukataa uteuzi unaonekana huna akili? Kila mtu ana namna yake ya kuishi na inayompa furaha.