The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Binadamu sisi baadhi yetu ni wapumbavu sana especially Tanzanians,hata kama una cheo gani kiumbe mtu wote mnategemea pumzi msiyojua inatoka wapi kwanini kukomoana.Na hiyo ndo ya kufikiria sana kwanini..Na jibu ni moja tu lengo ni kumuathiri kisaikolojia na kumtengenezea mazingira katika kituo kipya ili ashindwe kuhimili kazi
Kwani ni lazima sana kutishana eti kwa sababu mtu alitumia uhuru wake?alishajiona mapema hiyo nafasi hatoshi hakutaka kuitia serikali hasara ya kuapishwa kisha kesho atolewe yote hii ni busara alitumia mbona hili halionekani kwa hao wanaotaka kumkomoa?
Wao wataishi milele eti???