Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

Asingepangiwa kazi nyingine since tayar mtumishi angerudishwa manispaa yake ya temeke na mshahara wake wa udc ungendelea kuflow alikosea kukata uteuzi
 
Kumbe ualimu ni kazi ya adhabu
 
Unamsemea mtu mwenye nia na lengo tofauti! Huyo mpuuzi alilewa fedha za ubadhirifu toka Chama Cha Walimu akaona ukuu wa Wilaya haulipi! Sasa akale laki tano take home.
 
Kulikua na njia nyingine.... anabahati hajawekwa Kwa black list ila hiyo barua kutoka/kuwekwa kama tangazo ilihali vibali alivyoomba havikuwekwa wazi (Tena hapa) huo ni mtego.... anarudi kituo Cha awali kama hajajipanga ATAISHI KWA SHIDA SANA.
 
Ana miradi yake mjini wewe maokoto yamezingatiwa mzee baba
 
Waalimu wanachama wa CWT - Chama cha Waalimu Tanzania waonyeshe solidarity na waandamane kupinga viongozi wao kuburuzwa na watawala.
Hakuna mwalimu atamtetea kiongozi wa CWT. hao wapigaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…