Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

Hata akistaafu kiinua mgongo chake atazungushwa wee mpaka ameangukie mama.
Inashangaza sn.Hata mimi nimeomba kutokuwa ktk kazi fulani hivi ambayo ina malipo pia,aisee imetafsiliwa tofauti sanaaaaaa.

U-Africa ni laana
 
Mpwayungu hayuko hewani sijui kapata mwanamke gani amem-keep busy week end hii.

Haonekani kwenye nyuzi zinazomhusu.
 
Huyu mwalimu alikuwa wa daraja la 3 A alafu amekataa teuzi ya mh rais duhhh kayavagaa aisee aende akaimbishe mabata madogo madogo Sasa uko
Huko CWT salary ni M 7 na maposho kibaooooo na bado deals za kutosha ambazo kwa mwezi unaweza piga hata M 50.

Na kazi ina uhakika hakuna kutenguliwa anytime.

Hebu fikiria ungekuwa ni wewe?
 
Kuna sehemu umeona nimesema ajira serikalini ni Uhai...Am not entitled to what you understand only what i said bro! So relax and buckle up!
"Am not entitled to what you understand only what i said bro!" Sawa, then scram b&ch.
 
Waalimu wanachama wa CWT - Chama cha Waalimu Tanzania waonyeshe solidarity na waandamane kupinga viongozi wao kuburuzwa na watawala.
Mwee subutu wakati uko walimu wamelipuka shangwe hao Cwt si ndio wezi wanaowaibia walimu kwenye makato
 
Huko CWT salary ni M 7 na maposho kibaooooo na bado deals za kutosha ambazo kwa mwezi unaweza piga hata M 50.

Na kazi ina uhakika hakuna kutenguliwa anytime.

Hebu fikiria ungekuwa ni wewe?
Sasa si unaona Sasa kilichomkuta amepangiwa darasa la tatu c tarehe Moja asubuhi na mapema saa Moja kamili awe darasani kupiga pindi la stadi za kazi. Ningekua Mimi siwezi kupinga teuzi ya mh rais ata kama ingekua mtego Ili niende kuonekana siwezi kazi nitumbuliwe bado nitarudushwa tu kwenye ajira yangu ya awali au nitapangiw nyingine na mamlaka uwenda asingezalilika hivi asaivi angepangiwa sehemu nyingine tofauti na uko msingi mamlaka zingemuonea huruma
 
umma tunahusikaje na mtu kuitwa kurudi kazini!!
Si barua itumwe ofisini anakofanyia kazi ili imfikie?
Fitna ndio inachemshwa hapo, ikichemka ndio utajua kwanini wamefanya hivyo

Nchi hii kuna watu wanateuliwa na Rais kama promotion na kuna watu wanapewa uteuzi wa Rais kama adhabu

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Alitaka kunichukulia poa kumbe mi mwenyewe mtoto wa tauni…pararampapariraa….ameyatimba
 
Kama kibali chake cha pili kinaisha tarehe 30 September, 2023 na haijafika inakuwaje atangazwe sasa hivi kana kwamba tarehe imefika na ameshindwa kuripoti kazini? Kuna nini nyuma ya pazia?
Kaandikiwa mapema kwa sababu naye aliandika ya kuomba tena miaka mitatu.
 
Binafsi sidhani kama rais alihusika na uteuzi wa Maganga moja kwa moja na hata hizi figisu figisu rais hahusiki nazo kabisa. Inawezekana upande mwingine unaopigania kuweka vibaraka wao hapo CWT ndio ulichomeka jina la Maganga kwenye ukuu wa wilaya ili apishe watu wapige hela.

Ieleweke, pale CWT kuna mvurugano wa madaraka mpaka sasa ambapo kila upande una back up ya viongozi wanaonufaika na pesa za walimu.
Tukumbuke, Maganga alichukua nafasi ya katibu Seif ambaye alihukumiwa kifungo cha miezi sita. Fuatilia Seif ni rafiki yake nani?

Inaonekana back up ya Maganga haina nguvu. Kama kugomea ishu ya uteuzi, mbona hata rais wa CWT naye aligomea uteuzi!

Kama Maganga akitumia ujasusi wa kiuchumi vizuri anaweza kupata barua ya kuendelea ila inaonekana ni boya tu mana tangu agomee uteuzi angekuwa ameishaseti mipango kwa bi mkubwa, mbona wenzake wanakula kwa urefu wa kama zao, bi mkubwa lazima angemuelewa tu kama angeenda kujieleza kitekniki. Hii ndio Tanzania!
 
Kama kibali chake cha pili kinaisha tarehe 30 September, 2023 na haijafika inakuwaje atangazwe sasa hivi kana kwamba tarehe imefika na ameshindwa kuripoti kazini? Kuna nini nyuma ya pazia?
Nafasi anayotumikia ina maslahi mapana kwa walimu wote nchini, hivyo kutoa taarifa kwa umma ni kuutarifu umma wa walimu wote nchini kuhusiana na Katibu Mkuu wao ambae kimsingi ndio mtendaji mkuu kurudishwa kwenye kituo chake cha kazi
 
Back
Top Bottom