Kukataa uteuzi wa Amiri jeshi hasa ukiwa Ww ni Mtumishi wa Umma ni insubordination ya hali ya juu sanaBarua imeandikwa kwa capital letters na bold kibao, huyo wamempania
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukataa uteuzi wa Amiri jeshi hasa ukiwa Ww ni Mtumishi wa Umma ni insubordination ya hali ya juu sanaBarua imeandikwa kwa capital letters na bold kibao, huyo wamempania
Nzi wa wapi hao?Nzi wanasemaga we ukijua hivi wenzio wanajua vile
Kuna sehemu umeona nimesema ajira serikalini ni Uhai...Am not entitled to what you understand only what i said bro! So relax and buckle up!Kuona ajira za Serikali ni kama uhai.
Hiyo ni akili na mawazo ya kimaskini.
Inashangaza sn.Hata mimi nimeomba kutokuwa ktk kazi fulani hivi ambayo ina malipo pia,aisee imetafsiliwa tofauti sanaaaaaa.Hata akistaafu kiinua mgongo chake atazungushwa wee mpaka ameangukie mama.
Huko CWT salary ni M 7 na maposho kibaooooo na bado deals za kutosha ambazo kwa mwezi unaweza piga hata M 50.Huyu mwalimu alikuwa wa daraja la 3 A alafu amekataa teuzi ya mh rais duhhh kayavagaa aisee aende akaimbishe mabata madogo madogo Sasa uko
"Am not entitled to what you understand only what i said bro!" Sawa, then scram b&ch.Kuna sehemu umeona nimesema ajira serikalini ni Uhai...Am not entitled to what you understand only what i said bro! So relax and buckle up!
umma tunahusikaje na mtu kuitwa kurudi kazini!!Hii sio barua ni taarifa kwa umma.
Mwee subutu wakati uko walimu wamelipuka shangwe hao Cwt si ndio wezi wanaowaibia walimu kwenye makatoWaalimu wanachama wa CWT - Chama cha Waalimu Tanzania waonyeshe solidarity na waandamane kupinga viongozi wao kuburuzwa na watawala.
Huyo maganga ana akili Kuliko CCM WoteNzi wanasemaga we ukijua hivi wenzio wanajua vile
Sasa si unaona Sasa kilichomkuta amepangiwa darasa la tatu c tarehe Moja asubuhi na mapema saa Moja kamili awe darasani kupiga pindi la stadi za kazi. Ningekua Mimi siwezi kupinga teuzi ya mh rais ata kama ingekua mtego Ili niende kuonekana siwezi kazi nitumbuliwe bado nitarudushwa tu kwenye ajira yangu ya awali au nitapangiw nyingine na mamlaka uwenda asingezalilika hivi asaivi angepangiwa sehemu nyingine tofauti na uko msingi mamlaka zingemuonea hurumaHuko CWT salary ni M 7 na maposho kibaooooo na bado deals za kutosha ambazo kwa mwezi unaweza piga hata M 50.
Na kazi ina uhakika hakuna kutenguliwa anytime.
Hebu fikiria ungekuwa ni wewe?
Lakini umechangia mada inayomuhusu MwalimuMambo ya walimu hayanihusu
Wamemla kichwaHuenda ni mtoro kazini
Mwenye maamuzi ya mwisho anatakiwa kuwa ambaye anapewa kazi - je anaamini kama ataweza majukumu hayo. Kwa kuwa sisi ni binadamu- Vetting haiwezi kuwa sahihi mara zote.Kwa unamaanisha vetting ya mweshimiwa Rais haikuwa sAwa kumchagua
Fitna ndio inachemshwa hapo, ikichemka ndio utajua kwanini wamefanya hivyoumma tunahusikaje na mtu kuitwa kurudi kazini!!
Si barua itumwe ofisini anakofanyia kazi ili imfikie?
Kaandikiwa mapema kwa sababu naye aliandika ya kuomba tena miaka mitatu.Kama kibali chake cha pili kinaisha tarehe 30 September, 2023 na haijafika inakuwaje atangazwe sasa hivi kana kwamba tarehe imefika na ameshindwa kuripoti kazini? Kuna nini nyuma ya pazia?
Nafasi anayotumikia ina maslahi mapana kwa walimu wote nchini, hivyo kutoa taarifa kwa umma ni kuutarifu umma wa walimu wote nchini kuhusiana na Katibu Mkuu wao ambae kimsingi ndio mtendaji mkuu kurudishwa kwenye kituo chake cha kaziKama kibali chake cha pili kinaisha tarehe 30 September, 2023 na haijafika inakuwaje atangazwe sasa hivi kana kwamba tarehe imefika na ameshindwa kuripoti kazini? Kuna nini nyuma ya pazia?