white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Wewe utakuwa maskini tu.Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!
Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.
Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;
Halafu atapigwa pin hakuna kwenda kwenye kazi nyingine yoyoteMwalimu Japhet maganga aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha walimu Tanzania na aliyegomea teuzi ya ukuu wa wilaya kutoka Kwa bi Mkubwa namba moja anahitajika kuripoti kituo chake cha kazi Baada ya ombi lake kukataliwa na katibu mkuu utumishi View attachment 2759810
Bora ni AMANI ya moyo.Sasa unajua pesa aliyokuwa anapata kama Katibu Mkuu CWT ni kubwa na Ingeweza kulingana na Pesa ya Mkuu wa wilaya.
Ila kwa sasa anapelekwa kurudi kama Mwalimu mwandamizi Daraja A unajua anapata kiasi gani na atafundisha Shule ya msingi unajua udhalilishaji na majuto atakayopata maana hata diwani atakuwa boss wake sasa....KIPI NI BORA?
Hii sio Taarifa kwa umma ni Tangazo kwa umma, soma vizuri MkuuHii sio barua ni taarifa kwa umma.
Kwa namna nyingine ni onyo kwa umma.Hii sio barua ni taarifa kwa umma.
atapata tabu zaidi kwenye pension atakapokua anastaafu.Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!
Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.
Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;
Hata akistaafu kiinua mgongo chake atazungushwa wee mpaka amuangukie mama.Daaaa!!! Ila roho za kiafrika ni kichawi hasa!! Yaani wameona baada ya kipindi kile kukataa teuzi ya u DC, ndio wameona sasa wamkomoe!! Kama ni mimi naomba kustafu tu kama vigezo vya kufanya hivyo anavyo.
Umaskini uko wapi hapoWewe utakuwa maskini tu.
Acha kupotosha mdauDaaaa!!! Ila roho za kiafrika ni kichawi hasa!! Yaani wameona baada ya kipindi kile kukataa teuzi ya u DC, ndio wameona sasa wamkomoe!! Kama ni mimi naomba kustafu tu kama vigezo vya kufanya hivyo anavyo.
anatakiwa aripoti ili tarehe 2 October ili apewe barua ya uhamisho kutoka Temeke kwenda huko mabonde kuporomoka …akichomoa akatangaza kuacha kazi ndio Kikosi kazi cha CAG kitapiga kambi pale CWT na wiki kadhaa zijazo anaanza kusomeka kwa hakimu Mkazi kisutu kwa 'further process'Kama kibali chake cha pili kinaisha tarehe 30 September, 2023 na haijafika inakuwaje atangazwe sasa hivi kana kwamba tarehe imefika na ameshindwa kuripoti kazini? Kuna nini nyuma ya pazia?
Kuona ajira za Serikali ni kama uhai.Umaskini uko wapi hapo