Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!

Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.

Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)

Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;

Wewe utakuwa maskini tu.
 
Siwezi kumlaumu lakini hapo ndo nimeamini akili zake ni fupii sanaa yani wakati anakataa teuzi sababu analipwa Mil 7 na chama cha waalimu sababu ya cheo cha UKATIBU alitakiwa awe amejiandaa Kikamilifuu kwamba Mama akizingua yeye hatajikombaa jikomba tena kutaka kazi yakee ndo haya sasa Anafedheheshwaaa na barua zinazotakiwa kuwa za sirii lakini anaanikwa hadharanii...!! Hakuwa na back up plan wala watu wenye nguvu nyuma yake leo anadeal na afisa elimu wa wilayaa sijui kama sio mkuu wa shule[emoji24][emoji24]
 
Sasa unajua pesa aliyokuwa anapata kama Katibu Mkuu CWT ni kubwa na Ingeweza kulingana na Pesa ya Mkuu wa wilaya.

Ila kwa sasa anapelekwa kurudi kama Mwalimu mwandamizi Daraja A unajua anapata kiasi gani na atafundisha Shule ya msingi unajua udhalilishaji na majuto atakayopata maana hata diwani atakuwa boss wake sasa....KIPI NI BORA?
Bora ni AMANI ya moyo.
 
...Kuna mtu alisema.." I would rather eat worms than working in Tanzania Government".......sikumuelewa🙂....
ila waadilifu wanaelea😜🤪😜
 
Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!

Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.

Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)

Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;

atapata tabu zaidi kwenye pension atakapokua anastaafu.
Jeuri, Kiburi na Tamaa zake Lazima zimuadabishe akiwa yupo hoi.
atanyong'onyezwa hadi akili zimkae sawa.
 
Daaaa!!! Ila roho za kiafrika ni kichawi hasa!! Yaani wameona baada ya kipindi kile kukataa teuzi ya u DC, ndio wameona sasa wamkomoe!! Kama ni mimi naomba kustafu tu kama vigezo vya kufanya hivyo anavyo.
Acha kupotosha mdau

Ticha ameomba kibal na muombwaj kakataa kutoa kibal husika unasemaje kuwa anakomolewa???

Arud kwenye ajira yake ili wenzake nao wale
 
Kama kibali chake cha pili kinaisha tarehe 30 September, 2023 na haijafika inakuwaje atangazwe sasa hivi kana kwamba tarehe imefika na ameshindwa kuripoti kazini? Kuna nini nyuma ya pazia?
anatakiwa aripoti ili tarehe 2 October ili apewe barua ya uhamisho kutoka Temeke kwenda huko mabonde kuporomoka …akichomoa akatangaza kuacha kazi ndio Kikosi kazi cha CAG kitapiga kambi pale CWT na wiki kadhaa zijazo anaanza kusomeka kwa hakimu Mkazi kisutu kwa 'further process'

Mie nawafahamu watu wengi sana wanapigwa hadi ubalozi wakiwa hawataki kabisa lakini wakikumbuka maana ya Dola wanaenda hivyo

kuna Mh.mmoja alipigwa Ubalozi kufika kule kila siku ikawa sukari inapanda hadi Hayati JPM akaingiwa na huruma ikabidi amrudishe Home

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom