Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

Hivi ni sawa mkurugenzi kusaini tangazo/taarifa hii pasipo hata kuweka jina lake? Au hiyo kuandika cheo chake tu ilitosha?
Yes Ni sawa kama Taarifa ni public TAARIFA kama hii ya press ikiwa Ataweka alama inayowajulisha umma kuwa ni yeye kama Saini ama kitambulisho chochote kwa mujibu wa "Muongozo wa Uandishi nyaraka za serikali Mwaka 2020"
 
Kama yuko Bold enough hata akagomea uteuzi wa Rais...
Aache kazi tu. Akiripoti itakua ni Aibu kubwa..
Yah! anaweza kuacha kazi.. ila kama umri wake umegonga kustaafu kw hiyari, arudi kituo cha kazi astaafu, achukue chake.
 
atapata tabu zaidi kwenye pension atakapokua anastaafu.
Jeuri, Kiburi na Tamaa zake Lazima zimuadabishe akiwa yupo hoi.
atanyong'onyezwa hadi akili zimkae sawa.
Na wanaweza kumtafutia kisa chchote hta cha kubaka Mwanafunzi wakamfanyia mchongo...
na ndo ikawa mwisho wake au wakamlengeshea mwanafunzi challlii.......

Au wakaharass kwa Namna yoyote ile ambayo akaona dunia chungu elewa mkazo wa mwisho ule wa Tarehe 1 lazma ariport kazini.....uenda wanajua pengine hawez kureport halafu wao waanzie hapo
 
Unamuwazia mtu ambaye labda yeye anafuraha sana alipo.

Tena kama atarudi kufundisha atapata muda wa kuendeleza yake aliyojijengea kwa Amani na Furaha.

Kuishi kwa akili raha tupu..
 
Bwana Maganga ana akili sana tena kuzidi wewe mtoa mada alijua fika kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni cheo cha kwenda kudhalilishwa na alikuwa ametegwa ali atenguliwe na kupigwa bench kwa mgongo wa kupangiwa kazi nyingine …kwa hiyo alikuwa mbele ya muda na alifikiri zaidi yako….

Hivi kwa akili yako kabisa alikataa tuu bila kujua kitakachotokea? Alijua fika…
Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…

Alifanya jambo sahihi kabisa
By that time Bwana Maganga, alikuwa anatumika tu hapo CWT.
Huyu jamaa hiyo nafasi ya UDC aliikataa kwasababu ya maslai makubwa aliyokuwa anapata kwenye chama cha walimu
 
Na wanaweza kumtafutia kisa chchote hta cha kubaka Mwanafunzi wakamfanyia mchongo...
na ndo ikawa mwisho wake au wakamlengeshea mwanafunzi challlii.......

Au wakaharass kwa Namna yoyote ile ambayo akaona dunia chungu elewa mkazo wa mwisho ule wa Tarehe 1 lazma ariport kazini.....uenda wanajua pengine hawez kureport halafu wao waanzie hapo
sure!
 
Rais siyo mungu kwahiyo jamaa anayo haki ya kukataa uteuzi kama moyo wake ulikua haujaridhika.

Hizo kumshusha chini ni mapito tu ila mtoa rizki ni mmoja.
 
Sasa kapata nini kwa kukataa ukuu wa wilaya? Hata kama angeenda kutenguliwa, angerudi kwenye ualimu wake ambao ndio karudi sasa hivi.

Yeye alikataa sio kwa kutaka kurudi darasani, alikataa ili aendelee kuwa katibu wa CWT.

Mtumishi wa umma unabishana na Rais; hii akili sijui ni ya wapi!
Lakini kama angekubali teuzi hata kama angetenguliwa na kurudi kuwa mwalimu...

kwa Mujibu wa Standing order for Public services ya mwaka 2009 angetumikia mshahara wa Seniority yake kama mkuu wa wilaya huku akiendelea kufundishwa ambao unaitwa personal salary kisheria..
So kwa sasa anarudi kwenye mshahara mdogo ambao hauna personal salary kwa sababu aliazimwa na taasisi
 
Ualimu ni kazi inayo dharaulika sanaa... kumrudisha hiyo nafasi ni kumshushia hadhi... Mimi nipo kwenye hii kada lakini kuna muda nikiulizwa nasema mimi mfanyabiashara..
kuna maeneo siwezi sema mwalimu aise...
 
Na hiyo ndo ya kufikiria sana kwanini..Na jibu ni moja tu lengo ni kumuathiri kisaikolojia na kumtengenezea mazingira katika kituo kipya ili ashindwe kuhimili kazi
Perfect Timing (Just Thinking) !!! 'Who Is The Man' !!!? 🤔🤔🤔🤔🤔
 
Hatuwezi jua maamuzi SAHIHI yalikua yapi hasa!

Lakini,muda utatupa majibu kuhusu hilo!!

Binafsi sikuona Busara ya kukataa uteuzi wa Namba moja nchini!!

Wakati mwingine ni Busara kukumbatia yanayokutokea kwenye maisha coz maisha ni kama Betting vile!!

Sasa kama una tuhuma za ufisadi kwenye CHAMA na ni kweli fedha za walimu sisi kwenye kile CHAMA huwa hatuna imani na matumizi yake kama yanatusaidia ama lah!

Chama hiki hakina msaada KWA mwalimu kabisa hilo tunalijua na tinalazimishwa tuendelee kuwemo BILA hatakupenda,tulijaribu kujitoa wengine tukarudishwa kwenye makato hayo hayo!!

Angekubali uteuzi coz hata hapo cwt hakuna haki na tija tunayopata kutoka kwao zaidi ya unyonyaji tu!!
 
Wacha ajifunze..
 
Lakini kama angekubali teuzi hata kama angetenguliwa na kurudi kuwa mwalimu...

kwa Mujibu wa Standing order for Public services ya mwaka 2009 angetumikia mshahara wa Seniority yake kama mkuu wa wilaya huku akiendelea kufundishwa ambao unaitwa personal salary kisheria..
So kwa sasa anarudi kwenye mshahara mdogo ambao hauna personal salary kwa sababu aliazimwa na taasisi
Ukishakuwa mtumishi wa umma huwezi kubishana na Rais, ni upuuzi wa hali ya juu.
 
Ukishakuwa mtumishi wa umma huwezi kubishana na Rais, ni upuuzi wa hali ya juu.
Katika hili Mama Samia alijivua Urais na kumuona huyo jamaa kama mwanae tu...
Alimkosea sana.

Awamu ile mngeokota kiroba..
 
Safii sana, ilikuwa dharau sana kwa Mamlaka ya uteuzi, yaani unamchagua mtumishi wa Umma kuwa DC anakataa kweli? Safii kabisa
 
Back
Top Bottom