mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Duh naona katoa redcardMkwe wake Mama Yule mudi nchengerwa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh naona katoa redcardMkwe wake Mama Yule mudi nchengerwa
Kwa nini barua ya mwajiri na mwajiriwa inawekwa kwa umma. Kwani alipoomba kuazimwa alituandikia?Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!
Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.
Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;
Kwa hiyo kama hana uzoezi na hiyo KAZI ya UDC na anaona ataharibu akubali tu?Safii sana, ilikuwa dharau sana kwa Mamlaka ya uteuzi, yaani unamchagua mtumishi wa Umma kuwa DC anakataa kweli? Safii kabisa
Si aliona wanamtoa kwenye ulajiSafii sana, ilikuwa dharau sana kwa Mamlaka ya uteuzi, yaani unamchagua mtumishi wa Umma kuwa DC anakataa kweli? Safii kabisa
Kwa hiyo kama hana uzoezi na hiyo KAZI ya UDC na anaona ataharibu akubali tu?
Huu utawala wa kukomaa, visasi na vinyongo hautakuwa na mwisho mzuri, wangejifunza kwa awamu iliyopitaBwana Maganga ana akili sana tena kuzidi wewe mtoa mada alijua fika kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni cheo cha kwenda kudhalilishwa na alikuwa ametegwa ali atenguliwe na kupigwa bench kwa mgongo wa kupangiwa kazi nyingine …kwa hiyo alikuwa mbele ya muda na alifikiri zaidi yako….
Hivi kwa akili yako kabisa alikataa tuu bila kujua kitakachotokea? Alijua fika…
Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…
Alifanya jambo sahihi kabisa
Haliwezi, Tangazo na Taarifa ni vitu viwili tofauti kabisa. Kimsingi hili halikupaswa kuwa Tangazo bali Taarifa.Kwamba tangazo haliwezi kuwa taarifa?
Ni mhemko tu umewapataWakati wanampa kibali kwanini hawakumtangaza hivyo?
Lilikuwa suala la muda tuNinachojua mie hapa kapuku ni kwamba huwezi idindishia "serekale".
Kumbe kuvimba koote kule jamaa ni ticha afu alipewa kibali.😁
Hizo akiliiiii au tope?Bwana Maganga ana akili sana tena kuzidi wewe mtoa mada alijua fika kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni cheo cha kwenda kudhalilishwa na alikuwa ametegwa ali atenguliwe na kupigwa bench kwa mgongo wa kupangiwa kazi nyingine …kwa hiyo alikuwa mbele ya muda na alifikiri zaidi yako….
Hivi kwa akili yako kabisa alikataa tuu bila kujua kitakachotokea? Alijua fika…
Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…
Alifanya jambo sahihi kabisa
Duh! Kazi AnayoNa hiyo ndo ya kufikiria sana kwanini..Na jibu ni moja tu lengo ni kumuathiri kisaikolojia na kumtengenezea mazingira katika kituo kipya ili ashindwe kuhimili kazi
Akaache kaziHii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!
Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.
Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;
Hizi ndizo akili za watanzania maana 99.9% ni machawa hawana msimamo na wala hawafuati wanachotaka.
Yeye hakutaka uteuzi akakataa, ila watu wanamnanga kama vile kuna kosa alilofanya
Ndiyo watawala wako hao. Siku zote wanatumia njia za aina hii ili kutengeneza mazingira ya kuogopwa.
Ningekuwa mimi ndiyo huyo Mganga, nisingeripoti hiyo tarehe 1 Oktoba. Halafu wakinifukuza kazi yao, poa tu.
Hakuna tatizo so hakuna haja ya kulifanya big dealHajafanya kosa lolote ila na wao wanamuhitaji hapo Temeke akashike chaki! Kuna tatizo mwajiri wako kukuita kazini?
Huyo jamaa angekuwa anajielewa ni bora angekimbia nchi tu.Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!
Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.
Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;
Kwani ipo na shida gani,Sawa. Ndio kasharudi kuwa MWALIMU.
Na hapo asubiri kuhamishwa.. na mtu wa hivyo unampeleka kule kule kwenye wilaya aliyoikataa unampeleka anakuwa MWALIMU.