Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Imekuwaje msimtaje jina?Sija fahamu yuko wapi, ila kuna uwezekano amenyanyasa watoto wengi sana hapo na kama yuko hai ina wezekana ana nyanyasa bado ila atakua ni babu kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuwaje msimtaje jina?Sija fahamu yuko wapi, ila kuna uwezekano amenyanyasa watoto wengi sana hapo na kama yuko hai ina wezekana ana nyanyasa bado ila atakua ni babu kwa sasa.
Hawataki kumtaja jina.Unless mlikua mnafurahia huo udhalilishaji. Mnaweza kumshtak mahakaman na mkapata haki yenu. Jinai haifi
Huo ndio ukweli.Kuna uwezekano mkubwa wakatoliki wengi walishaliwa na walimu wa komunyo Ila wame mute na kumalizia hasira zao kwa ma Haus gel.
Na afanye hivyo.Aisee dogo kama alikupasulia yai usifiche hi Siri inabidi akamatwe Kisha afunguliwe mashitaka na uwe Shahid namba Moja sisi tuko nyuma yako
Hakuna anaye weza furahia unyanyaswaji wa kijinsia, nime weza ongea sababu siku wahi nyanyaswa naye zaidi alitaka kuni nyanyasa kw akunianisishia maneno ya kiutu uima nikiwa mtoto ,ila sababu nadhani nilikua mjanja teari anona akaona huyu dogo sita muweza , akaachia hapo, ila alianza niuliza maswali ya kiutu uzima.Kwangu nili nusurika je kuna wangapi wali weza nyanyaswa na hawawezi ongea ? kipindi hicho taarifa zilikuwepo , kila mtoto alijua huyo mwalimu ni basha , ila nadhani ni ile suala la kusema nikiongea hkuna atakaye niamini .Unless mlikua mnafurahia huo udhalilishaji. Mnaweza kumshtak mahakaman na mkapata haki yenu. Jinai haifi
Inabidi nianze yaweka hapa moja hadi lingine haswa likiwa la uhalifu lolUna mafaili mengi ndugu Wingawinga
Siku mwanao uje gundua hana marinda ndio utajua why inabidi to expose watu kama hawa wanao haribu watoto.Unamtafuta wanini?
Tumjue wanini?
Peleka Ushoga kule pumbavu
Yes hakuni nyanyasa, ila alitaka kuninyanyasa na habari zilikuwepo ame nyanyasa fulani na fulani, ila siku zote hawa pedophiles wana lindwa na watu kama nyie msio taka amini wala waza haya mambo yana wezekana watoto kudhalilisha , au labda utakuta na yie wenyewe ni pedophile na manaogoa uzi kama huu una weza wa expose wa mlio fanyia watoto.kama wewe hakukunyanyasa basi na wengine hakuwanyanyasa pia
la maana ni kumuombea mema huko alipo
HUKUMU ULICHOONA
USIHUKUMU ULICHOSIKIA
Tena wale Alter boys sijui kama walinusurika , tena unakuta wazzi ndio wana walazimisha watoto wao wawe wana tumikia Misa hapo sasa ndio wana wa peleka kwa hao sexual predetors wenyewe huwa na wacheki tuu na sema dah, I hope Munu aliwa nusuru.Kuna uwezekano mkubwa wakatoliki wengi walishaliwa na walimu wa komunyo Ila wame mute na kumalizia hasira zao kwa ma Haus gel.
Hili suala la pedophiles siola dini moja, ni sehemu zote wako hawa watu wanao vutiwa kingono na watoto so haijalishi iwe msikitini or kanisani .Na Waislam wengi wameliwa wakisoma Madrassa
Kama kweli ata shitakiwa mimi nita toa ushahidi huu nilio usema hapa, ajabu baba ya huyo victim ninaye mjua alikua na nafasi moja kubwa sana tena ( Nashidwa itaja hapa sababu wengi wanaijua na wanajua huyo mtoto alidhalilishwa so niki isema nafasi nitakua kama ninawakumbusha watu na huyo dogo ata anza patwa na hofu kutajwa hapa sababu now ni mtu mzima ina wezekana ana familia ) ila nafasi ambayo ingeenda solve hili tatizo kwa haraka zaidi, ila hakuna kitu kilicho fanyika kabisa.Aisee dogo kama alikupasulia yai usifiche hi Siri inabidi akamatwe Kisha afunguliwe mashitaka na uwe Shahid namba Moja sisi tuko nyuma yako
Kama kwelii alikua na nia ya kunifundisha kwanini aliniita peke yangu kwnye darasa na kuniuliza hilo swali ? na kwanini nilipo sema sielewi maana yake , hakuni fundisha ni nini kama ni nia ya kuni funza? .Hilo swali mbona ni ndani ya somo sababu ni amri ya 6.
Vipi kama alikua anatimiza majukumu yake na alihitaji kufahamu uelewa wa watoto kama wanazielewa hizo amri za Mungu vema.
Ushahidi wa tuhuma zako ni batili so far
Sielewi kisheria natakiwa nifanyeje maana hizo ni tuhuma so kwangu nilicho kiona ni hicho ila mengine nilis ikia toka kwa victim mwenyewe na wengine ni story zilizo zagaa, hivy kumtaja sija jua kama ni kuvunja sheria za haki yakeHatari sana.Kwa nini unaficha jina lake!?
Hiyo ni kweli , maana kwa sasa sijui yuko wapi na anafanya nini , ina wezekana ana abuse more kids huko alipo, ilakumtaja ndio sina uhakika kisheria ni sahihi kwa tuhuma hizi , nilitaka wajitokeze wengine wanao jua hizi story na watuambia kama walikua abused naye na from there ndio tujue tuna fanyaje .Msimfiche jina lake.Huwenda ikawa anawaharibu vijana wengine,huko aliko.Lakini mkimtaja jina,wengi watajihadhari na watoto wao.
Jina sikumbuki , ila alikuwa ana Pikipiki alikua anakuja hata Oyeterbay Primary kufanya mafundisho ya vipindi vya dini .Hawataki kumtaja jina.
Ilikuwa 1986 na kuendelea ,alikuwa kama kibonge kiasi na alikua anavaa mkanda kama mnene hivi, alikua ana endesha pikipiki , kidogo kama na mkumbuka anataka kufanana kama na rais Mwinyi (Ali Hassan) kinamna fulani.Wewe ulifanya mafundisho mwaka gani? Unamsemea katekista Abeli au Novati muimba kwaya kiboko ya masisita?