Mwalimu Mkuu awa ombaomba mtaani baada ya kustaafu

Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake.

Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya?

Wengine wanapata pension ndogo kwa sababu ya kutopandishwa madaraja wakati wanastaafu miaka hii 5?
Umeandika km unakimbizwa hebu weka details za kutosha kabisa
 
Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake.

Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya?

Wengine wanapata pension ndogo kwa sababu ya kutopandishwa madaraja wakati wanastaafu miaka hii 5?
Tuma video
 
Mjini Moroto nchini Uganda huko, inahusiana nini juu ya wastaafu wa Tz na mafao yao unavyotaka kusadikisha watu?
 
Mada inajieleza yenyewe. Ukitumia sekunde tu kuisoma kwa utulivu utaelewa.
 
Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake.

Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya?

Wengine wanapata pension ndogo kwa sababu ya kutopandishwa madaraja wakati wanastaafu miaka hii 5?
Ndoo maana nasema akuna mtanzania wakujivunia na nchi yake....

Hili ungeliandika kingreza walimu duniani wangejua tz kua akuna mwalimu anafurahia kazi yake..

Basi tu kiswahili ni code language ya kudhoofisha wasio jiweza

Tujifunze lugha za kigeni maana apa wakisoma wanaona ☆%₩♤☆

Tz mpeleke mwanao shule....no way
 
Mimi ni Mwalimu. Mdomoni ni Magufuli mitano tena. Moyoni ni Mitano Tosha na mpango mzima kwa Tundu Antipas Lissu. Hii ni kwa 98 ya walimu wote. Hata vijana wetu tunawafundisha kufikiri na kukosoa sio kama ilivyo hivi sasa
 
Watakuambia mitano tena mtaji wa CCM ulikua watu wajinga ili waendelee kutawala kimabavu na ku exploit Tanzania
ila kile kizazi hakipo, kabisa, wamebaki wachache "mabaki, au mazalia, au makapi" na ndio mana wanatumia njia zote hata kwa kuiba kura ili tu waingie madarakani, lakini tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu, CCM walishakufa tunasubiri kuzika tu
Hatuwezi kuwapa kura vibaraka
 
Sikia mkuu, hata kama pesa unayopata ni ndogo. Ukiitumia vizuri huwezi kuwa maskini. Shida ya wanaume tunajisahau mnoo tunagawa pesa zetu kwa wanawake. Right kama huyo mzee angeijenga familia yake vizuri kwa kutumia hizo pesa Leo asingeomba. Acha kuhonga tumia pesa yako vizuri. Saidia ndugu zako, Mungu atakuongezea zaidi.
Hata wewe pia umezaliwa na ujinga kutoka tumboni mwa mama yako!ivi kweli unaweza kuandika haya yote kwa ajili tu umtetee magufuli?
Kwani ukitumia pesa vizuri ndio usipewe kiinua mgongo ambayo ni haki ya kila mtanzania na nipesa zako uliotunza wewe?
Kama wanajua hawatakupa pesa zako zikusaidie wakati ukistaafu kwanini wakukate sasa?
Magufuli aondoke madarakani ameumiza familia nyingi sana.hatumtaki kabisa mabavu yote hadi kwenye mitandao ya nini?
 
Back
Top Bottom