Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 332
- 549
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenigusa nenda pale NHIF tanga, utalia no ushirikianoWatumishi wa halmashauri za wilaya za mkoa was Tanga wapo nyuma Kwa Kila jambo. Yaani siyo tanesco siyo NIDA au RITA. Kielimu wapo nyuma Yani hakuna kitu Tanga
Boss mm sihusiki na huo mkoa bali hutembea na kuchunguza,kuhoji,na kujaribu kusaidia wananchi mbalimbali wa Tanzania wasiokuwa na elimu ama ujuzi wa kujua wap wanaweza kupata msaada ama ushauri wa kutatua matatizo makubwa yanayowakabili.Kumbuka kuna watu wako vijijin sana hawajui hata kusimamia haki zaoUmemshindwa Kwa waganga umeona ujaribu kumchafua na mtandaoni. Mungu anakuona.
Tanzania ya Sasa Kweli wazazi wenye wanafunzi wa shule ya msingi watoto wao wanabakwa Na mwalimu halafu wazazi wasijue Mahali pa kushitaki. Kweli?
Sawa mwalimu . Malalamiko yako yamepokelewa na mamlaka za jf !!Shule ya msingi Mavovo ipo mkoani Tanga wilaya ya Mkinga.Mwalimu mkuu aliyepo sasa anaitwa Salim Rashid huyu mwalimu ni mshenzi na hafai kuwa mtumishi wa serikali.
Ni mlevi wa kupindukia,shule ameifanya kama nyumba yake,anawadhalilisha wanafunzi mpaka wazazi,mwisho huita kikao na kuwaomba msamaha eti alipitiwa na alikuwa amelewa.
Uchunguzi unaonyesha hata anawatumia wanafunzi kingono kwa kuyatumia madaraka aliyonayo,na kutokana na wazaz hawa kutokuwa na uwezo wa kujua wapeleke wapi malalamiko yao ili wasaidiwe mambo yanaisha kienyeji.
Huu ni ukweli halisi,wazazi tunaomba wakuu wanaohusika na idara ya elimu wachunguze mambo haya na wawasaidie watoto wetu.
Ushirikiano utapatikana
Nimeandika haya kuwawakilisha wazazi na wanafunzi ambao wamekosa wa kuwasemea ila wako tayari kutoa ushirikiano
Asante
Nawakilisha.
JF haijwahi kufikia kudeal na mambo ya shule ya msingi. Hakuna hata afisa elimu Kata? Mtendaji Kata? Katibu tarafa? Achilia mbali DEO?Boss mm sihusiki na huo mkoa bali hutembea na kuchunguza,kuhoji,na kujaribu kusaidia wananchi mbalimbali wa Tanzania wasiokuwa na elimu ama ujuzi wa kujua wap wanaweza kupata msaada ama ushauri wa kutatua matatizo makubwa yanayowakabili.Kumbuka kuna watu wako vijijin sana hawajui hata kusimamia haki zao
Umewasaidia wangapi wewe acha kujikosha na kudanganya watu hapa. Kwanza kwenye kigari chako mbona unatunyima lift.Boss mm sihusiki na huo mkoa bali hutembea na kuchunguza,kuhoji,na kujaribu kusaidia wananchi mbalimbali wa Tanzania wasiokuwa na elimu ama ujuzi wa kujua wap wanaweza kupata msaada ama ushauri wa kutatua matatizo makubwa yanayowakabili.Kumbuka kuna watu wako vijijin sana hawajui hata kusimamia haki zao
Acha umbea we mpumbav.uShule ya msingi Mavovo ipo mkoani Tanga wilaya ya Mkinga.Mwalimu mkuu aliyepo sasa anaitwa Salim Rashid huyu mwalimu ni mshenzi na hafai kuwa mtumishi wa Serikali.
Ni mlevi wa kupindukia, shule ameifanya kama nyumba yake,anawadhalilisha wanafunzi mpaka wazazi,mwisho huita kikao na kuwaomba msamaha eti alipitiwa na alikuwa amelewa.
Uchunguzi unaonyesha hata anawatumia wanafunzi kingono kwa kuyatumia madaraka aliyonayo,na kutokana na wazaz hawa kutokuwa na uwezo wa kujua wapeleke wapi malalamiko yao ili wasaidiwe mambo yanaisha kienyeji.
Huu ni ukweli halisi,wazazi tunaomba wakuu wanaohusika na idara ya elimu wachunguze mambo haya na wawasaidie watoto wetu.
Ushirikiano utapatikana
Nimeandika haya kuwawakilisha wazazi na wanafunzi ambao wamekosa wa kuwasemea ila wako tayari kutoa ushirikiano
Asante
Nawakilisha.
Mamlaka husika huzijui?Mimi sio Mwalimu wala mtumishi WA serikali wakuu Bali nimepata kusikia malalamiko haya kutoka Kwa wanafunz wanaotendewa vibaya na Mwalimu huyo nikaona niwashirikishe hapa huenda watu wa idara husika wakaona na kwenda huko kuyafanyia uchunguzi na wakawasaidia wazazi na wanafunz hawa.je ni Bora ningekaa kimya ama Bora uamuzi WA kuyasema maovu yenye uhakika yatatuliwe?tusifuge watumishi wanaoharibu taswira ya elimu yetu na watoto wetu wakuu.