Mwalimu Mkuu shule ya msingi Mavovo Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga ana tabia mbovu, hafai kuwa mtumishi

Kama ni kweli si vyema hata kidogo
 
Ila Kuna taasisi na ofisi za serikali tanga zinaenda taratibu Sana...
 
Nimepata taarifa hili swala limeanza kushughlikiwa leo,wahusika walifika shuleni na wamehojiwa baddhi ya wanafunzi na Mwalimu husika ameanza kuchukuliwa hatua za kinidhamu.

Na hii yote inatokana na wahusika kuona maelezo haya hapa jukwaani,Asante Jf jukwaa letu pendwa lidumu milele

Nitawajuza yatakayojiri zaid wakuu
 
Shule ya msingi Mavovo ipo mkoani Tanga wilaya ya Mkinga.Mwalimu mkuu aliyepo sasa anaitwa Salim Rashid huyu mwalimu ni mshenzi na hafai kuwa mtumishi wa Serikali.

Ni mlevi wa kupindukia, shule ameifanya kama nyumba yake,anawadhalilisha wanafunzi mpaka wazazi,mwisho huita kikao na kuwaomba msamaha eti alipitiwa na alikuwa amelewa.

Uchunguzi unaonyesha hata anawatumia wanafunzi kingono kwa kuyatumia madaraka aliyonayo,na kutokana na wazaz hawa kutokuwa na uwezo wa kujua wapeleke wapi malalamiko yao ili wasaidiwe mambo yanaisha kienyeji.

Huu ni ukweli halisi,wazazi tunaomba wakuu wanaohusika na idara ya elimu wachunguze mambo haya na wawasaidie watoto wetu.

Ushirikiano utapatikana

Nimeandika haya kuwawakilisha wazazi na wanafunzi ambao wamekosa wa kuwasemea ila wako tayari kutoa ushirikiano

Asante

Nawakilisha.
Kapicha ka udhalilishaji
 
Wewe utakuwa ni Mwl WA hiyo shule,vijihela vya madaraka anavyopewa mkuu wako usivionee wivu
Kama Mwl anashida kwanini msiseme kwenye ngazi husika
Acha umbea na ushakunaku

Alooo[emoji23][emoji23]
 
Shule ya msingi Mavovo ipo mkoani Tanga wilaya ya Mkinga.Mwalimu mkuu aliyepo sasa anaitwa Salim Rashid huyu mwalimu ni mshenzi na hafai kuwa mtumishi wa Serikali.

Ni mlevi wa kupindukia, shule ameifanya kama nyumba yake,anawadhalilisha wanafunzi mpaka wazazi,mwisho huita kikao na kuwaomba msamaha eti alipitiwa na alikuwa amelewa.

Uchunguzi unaonyesha hata anawatumia wanafunzi kingono kwa kuyatumia madaraka aliyonayo,na kutokana na wazaz hawa kutokuwa na uwezo wa kujua wapeleke wapi malalamiko yao ili wasaidiwe mambo yanaisha kienyeji.

Huu ni ukweli halisi,wazazi tunaomba wakuu wanaohusika na idara ya elimu wachunguze mambo haya na wawasaidie watoto wetu.

Ushirikiano utapatikana

Nimeandika haya kuwawakilisha wazazi na wanafunzi ambao wamekosa wa kuwasemea ila wako tayari kutoa ushirikiano

Asante

Nawakilisha.
...Poleni. Kwa hiyo Wazazi hawawezi hata kuitisha kikao tu cha kumhukumu??
 
Mimi sio Mwalimu wala mtumishi WA serikali wakuu Bali nimepata kusikia malalamiko haya kutoka Kwa wanafunz wanaotendewa vibaya na Mwalimu huyo nikaona niwashirikishe hapa huenda watu wa idara husika wakaona na kwenda huko kuyafanyia uchunguzi na wakawasaidia wazazi na wanafunz hawa.je ni Bora ningekaa kimya ama Bora uamuzi WA kuyasema maovu yenye uhakika yatatuliwe?tusifuge watumishi wanaoharibu taswira ya elimu yetu na watoto wetu wakuu.
...Kwa hiyo wewe ulishindwa kuwapa ushauri wowote... Mpaka uishirikishe JF??
 
Shule ya msingi Mavovo ipo mkoani Tanga wilaya ya Mkinga.Mwalimu mkuu aliyepo sasa anaitwa Salim Rashid huyu mwalimu ni mshenzi na hafai kuwa mtumishi wa Serikali.

Ni mlevi wa kupindukia, shule ameifanya kama nyumba yake,anawadhalilisha wanafunzi mpaka wazazi,mwisho huita kikao na kuwaomba msamaha eti alipitiwa na alikuwa amelewa.

Uchunguzi unaonyesha hata anawatumia wanafunzi kingono kwa kuyatumia madaraka aliyonayo,na kutokana na wazaz hawa kutokuwa na uwezo wa kujua wapeleke wapi malalamiko yao ili wasaidiwe mambo yanaisha kienyeji.

Huu ni ukweli halisi,wazazi tunaomba wakuu wanaohusika na idara ya elimu wachunguze mambo haya na wawasaidie watoto wetu.

Ushirikiano utapatikana

Nimeandika haya kuwawakilisha wazazi na wanafunzi ambao wamekosa wa kuwasemea ila wako tayari kutoa ushirikiano

Asante

Nawakilisha.
Watakushukia wenzie kama vipanga mkushi mbishi umejiandaa kisaikolojia????
 
Boss mm sihusiki na huo mkoa bali hutembea na kuchunguza,kuhoji,na kujaribu kusaidia wananchi mbalimbali wa Tanzania wasiokuwa na elimu ama ujuzi wa kujua wap wanaweza kupata msaada ama ushauri wa kutatua matatizo makubwa yanayowakabili.Kumbuka kuna watu wako vijijin sana hawajui hata kusimamia haki zao
Kama unazunguka kusaidia watu mbona hujui sehemu sahihi kufikisha haya majungu yako?
 
Ndugu zangu hawa watu walikuwa hawana pa kusema mattzo yao,nimewasemea hapa hata hazijapita siku tatu wamepata msaada baada ya wahusika kusoma hapa na kwenda kufanya uchunguzi wao,wakajiridhisha kuwa ni kweli na mhusika wakamrekebisha.

Sasa tatizo liko wapi? Tusikae kubishana Tu kuhusu siasa na mapenzi tujaribu kusaidia kutatua mambo ya wazi mtaan yanayowatesa watoto wetu na wanawake.Kwan ni Nani asiyejua kuwa kuna waliopewa mamlaka na wanayatumia vibaya kujiona miungu watu! bila shaka wengi wanaopinga wapo sekta Fulani na wao wana yao wanayoyafanya kama huyu Mwalimu.

Ukiona maovu usikayakalie kimya,yaondoshe Kwa mkono,ukishindwa tumia ulimi kuyasema

Huoni wamesaidika wazaz na wanafunz wangapi ambao miaka yote wanateseka na kadhia hii.

Tuache ujinga bhana tuijenge nchi yetu.
 
Back
Top Bottom