Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

Tilishasahau...... Leo umber ruty kaamsha dude.....anataka kiki ...ikamamsha video ,
 
Amber Rutty alikwisha hukumiwa na mahakama na kutumikia adhabu yake. Kuendelea kumuhukumu kwa makosa ambayo alisha adhibiwa nayo ni kumblack mail na kuingilia haki zake zilizopo kisheria.
hukumunya kimahaka haindoi consequences za kijamii! ukiwa mwizi ukakamatwa ukatuwa hatiani ukatumikia adhabu ukatoka haikufanyi jamii ikuaminintena utabaki ni mwizi na uangaliwe kwa umakini mno!
 
Dah ila nchi yetu hadi amber rutty wakuwasilishiwa kero za wananchi?
🤣🤣🤣🤣🤣Tena na yeye anasikitika kabisa. Ukute teacher alishaangalia sana biriani la Amber Rutty alitaka ajiridhishe kwa karibu.
Hii nchi inasikitsha hasa. Kesho vitoto vikianza kupost biriani zao nao tunaanza tafuta mchawi.
 
Basi tatizo si amber kama watoto waliweza kuziona video zake. Sababu video za ovyo zipo nyingi ikiwamo ya amver. Tatizo ni mtoto kama aliweza kuona za amber basi na video za wengineo wengi maarufu na wasio maarufu zilizo mitandaoni watoto wanaziona.
Fine, you might be right, a father is not expected not to tune on porn channel in front of you kids on the pretex that after all, they are accessing them somewhere else!
 
Ambaruti ni mtakatifu sana anafaa kuigwa na jamii.
Serikari imemuonea...
 
Temeke ni sehemu ya ajabu sana, ndio maana wachaga hawaishi huko. Hivi inawezekanaje Amber Ruty ndio role model wao huko kwamba hakuna tena mtu wa ku inspire watoto
 
Labda walifanya kusudi ili wahusika watekeleze kilichomfanya Amba kwenda kutembelea shule.
Dhumuni limefanikiwa kwa 100% muda si mrefu fence itajengwa kwa haraka.
 
Wanafunz wanajifunza nn kwa mtu km huyo. Ana maadili gani.
Pale wako darasani au ukuta unatakiwa ujengwe?

Kwani wanajifunza nini wanapowakuta mitaani na kuwaona kwenye stage kwenye TV.
 
Back
Top Bottom