Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi.

Pia soma > Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Uongozi wa Manispaa ya Temeke umesema haya

“Kumekua na taarifa zinazosambaa kupitia kipande cha video mitandaoni zikimuonesha Mtu mmoja akitembelea Shule ya Msingi Nzasa iliyopo Temeke, akiwa amevaa mavazi yaliyo kinyume na maadili ya Kitanzania”

“Tunapenda kutoa taarifa kwamba uongozi wa Manispaa ya Temeke umechukizwa na ugeni huo, umemuonya Mkuu wa Shule kwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma kutokana na kitendo kilichotokea na Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza”

Mmh
 
amber ruty katumika hapo ili ujumbe ufike,
au wadau wengine wanafikiri kaitwa kujenga fensi ya shule
 
Ni maigizo tu ya maafisa. Maafisa ndio wanunuaji wakubwa wa K#ma za malaya ila hadharani hujifanya watakatifu, hamna lolote.
 
Ambaruty si ndo Yule dada video yake ilisambaa akiliwa tigo , hapa Kuna ajenda ya Siri mwalimu afukuzwe kazi . Au nae ni mdau wa tigo, anae haribu wanafunzi
 
Kichwa Cha habari kingekuwa Manispaa ya Temeke yatoa onyo kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa au Manispaa ya Temeke inaomba radhi kwa Mgeni aliyevaa nguo za hovyo.
 
Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi.

Pia soma > Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Uongozi wa Manispaa ya Temeke umesema haya

“Kumekua na taarifa zinazosambaa kupitia kipande cha video mitandaoni zikimuonesha Mtu mmoja akitembelea Shule ya Msingi Nzasa iliyopo Temeke, akiwa amevaa mavazi yaliyo kinyume na maadili ya Kitanzania”

“Tunapenda kutoa taarifa kwamba uongozi wa Manispaa ya Temeke umechukizwa na ugeni huo, umemuonya Mkuu wa Shule kwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma kutokana na kitendo kilichotokea na Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza”

kwa iyo hao watoto wanajua hana malinda na alishawahi sukumiwa?
 
Take note walivyomshangilia! Kuna kitu wanakijua kwake as it was open to the whole world at large that she has been sodomizing with her boyfriend.
Basi tatizo si amber kama watoto waliweza kuziona video zake. Sababu video za ovyo zipo nyingi ikiwamo ya amver. Tatizo ni mtoto kama aliweza kuona za amber basi na video za wengineo wengi maarufu na wasio maarufu zilizo mitandaoni watoto wanaziona.
 
Back
Top Bottom