Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

Ninyi watu wa dar mtuambie ,tofauti ya hawa amba wawili ni nink? Je ! Yule aliyeshtakiwa kwa kosa la kimaadili ni yupi? Kama.ndio huyo na hivyo vitoto vya mujini vinajua kilichompa umaarufu huyo mwalimu anawaletea remodel gani wamuige kwa tabia gani?
 
Wanaogopa ata wa ruti watoto[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona kilio cha mdau wa jf kimejibiwa
Screenshot_20210827-154835_Instagram.jpg
 
Ninyi watu wa dar mtuambie ,tofauti ya hawa amba wawili ni nink? Je ! Yule aliyeshtakiwa kwa kosa la kimaadili ni yupi? Kama.ndio huyo na hivyo vitoto vya mujini vinajua kilichompa umaarufu huyo mwalimu anawaletea remodel gani wamuige kwa tabia gani?
Wamuige tabia yake ya kupenda back door
 
Huu ni unyanyapaa kwanini asialikwe? Nani mtakatifu humu hata hao wanaojistiri ukiwafatilia ni wachafu kuliko maelezo
 
Nchi hii iache kukombatia watu wa ajabajab

Mtu kaonekana anamegwa video zipo

Eti kesho anateuliwa balozi wa makampuni

Ova
 
CAMEL TOE dah watoto wetu jamani..............kuna wakati unatamani uishi porini hukooo......huyu mwalimu asogezwe....
 
Huu ni unyanyapaa kwanini asialikwe? Nani mtakatifu humu hata hao wanaojistiri ukiwafatilia ni wachafu kuliko maelezo
Tatizo sio hilo, soma tena habari na angalia video uone vazi la madam mualikwa katika mazingira ya shule yenye watoto chini ya miaka 18.

Sisi wote ni wachafu, lakini nina uhakika kuwa ukialikwa eneo kama lile hutaenda ukiwa umevaa vile, usitwist taarifa tafadhali.
 
Watoto hawatumii mitandao, hawajui unayowaza wewe kumhusu.
Take note walivyomshangilia! Kuna kitu wanakijua kwake as it was open to the whole world at large that she has been sodomizing with her boyfriend.
 
Back
Top Bottom