Mwalimu Moroko anza na Saaduni leo hata kama umeshapanga listi pangua mzize weka nje!

Mwalimu Moroko anza na Saaduni leo hata kama umeshapanga listi pangua mzize weka nje!

Hapa tupo kwenye kuzungumzia mchezo wa leo wa stars ila ukitaka mjadalaxwa supu fc na simba ni trh 19
Wewe nitakuponda kichwa
Popote utakapojibanza kupata faraja
Wewe ni kolo
Trh 19 unakula mkono
 
Huyo jamaa akiwa na mpira utampenda kwani hapokonywi kirahisi Mzize siku ile alikuwa Kama Saidoo Kila Mara kuanguka Kama wydad walikuwa wanaangalia mpira wangeshukuru yanga kutowauzia Mzize.
 
Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!
Mbona yupo tu vizuri? Match iliyopita si alifung goli? Issue Leo anatakiwa afunge goli sahihi
 
Che malon akiwa Simba
5
MImi sio simba ila unalazimisha nikupe kumbukumbu wakati Emanuel Okwi na kaseja wanaidhaliliaha supu ya makongoro fc (yanga) goli 5 -1 ulikuwa wapi ushamba mnajizima data!
 
Back
Top Bottom