kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #41
Ahsante kwa kumbukumbu hata moja hawakupata!Ilikuwa 5-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa kumbukumbu hata moja hawakupata!Ilikuwa 5-0
Wewe ni koloMImi sio simba ila unalazimisha nikupe kumbukumbu wakati Emanuel Okwi na kaseja wanaidhaliliaha supu ya makongoro fc (yanga) goli 5 -1 ulikuwa wapi ushamba mnajizima data!
Unanilazimisha mimi leo ni mzalendo stars ni yetu nimechoka kuumizwa na striker wetu!Wewe ni kolo
Acha kulilia kichakani
Lia hadharani tukuone
Ungesema amuweke nje samatta hana anachokifamya uwanjaniMwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!
Mzize ana kazi maalumu October 19 itakua vizuri akae benchMwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!
Wa kwanza anayetakiwa hata uwanjani asikanyage leo ni Kibu D, huwa sielewi anafanya nini uwanjani kama ile match ilopita Vs DRC.Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!
Mechi iliyopita Pasi zote alizopiga Saaduni zilipotea.Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!
Juzi alicheza hovyo sana.Ni vyema leo apewe hizo 75 yeye!
Mpira wa kwanza alipiga v pasi samata akukosa hukuona hilo!Mechi iliyopita Pasi zote alizopiga Saaduni zilipotea.
Hakutengeneza any clear chance.
Saaduni bado sana kwenye hizi mechi
Vyema kabisa ni haki yako kutoa maoni ya kile ulichoona kifanyiwe kazi!Wa kwanza anayetakiwa hata uwanjani asikanyage leo ni Kibu D, huwa sielewi anafanya nini uwanjani kama ile match ilopita Vs DRC.
Bora achukue nafasi ya Samata ambaye sioni anachofanya uwanjani kuliko Mzize.Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!
Asije kutufungisha tena huyo jamaaMwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!
Naunga mkono hoja 100%, mara ya kwanza kumuona kwenye Tv nikamuuliza rafiki yangu huyu jamaa ni Mtanzania? akasema yes, niliuliza sababu sijawahi kusikia ameitwa team ya Taifa nikadhani labda sio MTZ, nimeona akili ya mpira anayo, drible yuko vizuri, nguvu. Ni mchezaji mzuri kuliko Kibu mara 100 ila ndio nchi yetu kama huna machawa mjini husogei.Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!
Umeandika vyema bila mihemko!Naunga mkono hoja 100%, mara ya kwanza kumuona kwenye Tv nikamuuliza rafiki yangu huyu jamaa ni Mtanzania? akasema yes, niliuliza sababu sijawahi kusikia ameitwa team ya Taifa nikadhani labda sio MTZ, nimeona akili ya mpira anayo, drible yuko vizuri, nguvu. Ni mchezaji mzuri kuliko Kibu mara 100 ila ndio nchi yetu kama huna machawa mjini husogei.
Tuombe Mungu tushinde!Asije kutufungisha tena huyo jamaa
Wazo zuri!Bora achukue nafasi ya Samata ambaye sioni anachofanya uwanjani kuliko Mzize.