Mwalimu Moroko anza na Saaduni leo hata kama umeshapanga listi pangua mzize weka nje!

MImi sio simba ila unalazimisha nikupe kumbukumbu wakati Emanuel Okwi na kaseja wanaidhaliliaha supu ya makongoro fc (yanga) goli 5 -1 ulikuwa wapi ushamba mnajizima data!
Wewe ni kolo
Acha kulilia kichakani
Lia hadharani tukuone
 
Ungesema amuweke nje samatta hana anachokifamya uwanjani
 
Mzize ana kazi maalumu October 19 itakua vizuri akae bench
 
Wa kwanza anayetakiwa hata uwanjani asikanyage leo ni Kibu D, huwa sielewi anafanya nini uwanjani kama ile match ilopita Vs DRC.
 
Kuna mibabu ndio inatuvuruga, badala ya kwenda kulea wajukuu imekazania kucheza mpira,

Ushahidi ni kwamba wasipowepo tunashinda, wakiwepo tunafungwa, na leo tutafungwa tena wakiwepo, heri lawama kuliko fedheha

Tunataka mpira hatutaki siasa
 
Mechi iliyopita Pasi zote alizopiga Saaduni zilipotea.
Hakutengeneza any clear chance.
Saaduni bado sana kwenye hizi mechi
 
Mechi iliyopita Pasi zote alizopiga Saaduni zilipotea.
Hakutengeneza any clear chance.
Saaduni bado sana kwenye hizi mechi
Mpira wa kwanza alipiga v pasi samata akukosa hukuona hilo!
 
Wa kwanza anayetakiwa hata uwanjani asikanyage leo ni Kibu D, huwa sielewi anafanya nini uwanjani kama ile match ilopita Vs DRC.
Vyema kabisa ni haki yako kutoa maoni ya kile ulichoona kifanyiwe kazi!
 
Bora achukue nafasi ya Samata ambaye sioni anachofanya uwanjani kuliko Mzize.
 
Huyu kocha sijawah mwelewega yan! Timu haichez kama inafundishwa, side way passes & ishallah!
 
Asije kutufungisha tena huyo jamaa
 
Naunga mkono hoja 100%, mara ya kwanza kumuona kwenye Tv nikamuuliza rafiki yangu huyu jamaa ni Mtanzania? akasema yes, niliuliza sababu sijawahi kusikia ameitwa team ya Taifa nikadhani labda sio MTZ, nimeona akili ya mpira anayo, drible yuko vizuri, nguvu. Ni mchezaji mzuri kuliko Kibu mara 100 ila ndio nchi yetu kama huna machawa mjini husogei.
 
Umeandika vyema bila mihemko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…