Mwalimu Mpande wa Moshi Technical

Mwalimu Mpande wa Moshi Technical

chrisc ni michezo kaka huwa inajumuisha mataifa kama saba na mpande ndo alikuwa msimamizi na washiriki walikuwa wakikaa kwenye mabweni ya karume mkwawa na lumumba na wanafunzi ambao wapo shuleni kwa wakati huo walikuwa wakiamishiwa azimio
nimekumbuka mkuu nilishasahau hio ishu, nakumbuka kuna waliokuwa wanakuja wanafunzi weusi sana nahisi watakuwa walikuwa waganda
 
duh, umenikumbusha kitambo. alimuona mtoro mmoja moshi mjini kesho yake assembly akamuita mbele..
"mwanangu embu geuka..
nasemaa, nalikumbuka ili tako.. lile lile nililoliona mjini jana".
dogo alifyeka uwanja wa mpira wiki nzima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom