Mwalimu Mpwayungu Village aishi milele

Mwalimu Mpwayungu Village aishi milele

HUYU NI WEWE UMEANDIKA.

HALAFU MWALIMU MZIMA UNA MUANDIKO MBAYA HIVI?[emoji23][emoji23]

HALAFU NILIJUA WEWE NI MWALIMU WA SEKONDARI KIDGO NKUHESHIMU ILA KUMBE WEWE NI MWALIMU WA PRIMARY

[emoji23][emoji23][emoji23]

HOVYOOOO
Aisee mwalimu wa primary ndiyo unatakiwa kumheshimu kweli kweli. Maana hata huu uwezo tu wa kusoma na kuandika humu jukwaani, ni matunda yake.
 
Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii

Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya Tanganyika ameamua kulitaja jina la mwalimu huyu nguri/nguli katika moja ya maswali yake

Mwalimu aheshimiwe popote na kila mtu,
View attachment 2679748
Mwalimu ni mungu wa tatu duniani
Wanafunzi hukumbana na vitu wasivyo vijua aisee
 
Basi ndio maana.Ila hawa watu acha tu tuwaheshimu.Na kitu ambacho mwenyez Mungu kawapa kama zawadi, ni kuishi muda mrefu bila kuzeeka.Ndio nimegundua hicho.walimu wanaishi aisee!!
Mungu anawafidia muda walioutumia kuwatoa ujinga watanzania
 
Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii

Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya Tanganyika ameamua kulitaja jina la mwalimu huyu nguri/nguli katika moja ya maswali yake

Mwalimu aheshimiwe popote na kila mtu,
View attachment 2679748
Mwalimu ni mungu wa tatu duniani
Mpwayungu ni kakijiji huku Dodoma kama unaenda Iringa karibu na Mpunguzi (kwa akina Ben Pol)

Huyu jamaa ni waporini kinyama namshangaaga anapowaponda walimu
 
Back
Top Bottom