Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Akili za watanzania ni changamoto kaka!Sio tu kutufundishia watoto wetu,wametufundisha na sisi pia....sielewagi kabisa hii kasumba ya kuwadharau walimu.......Huwezi kuwa Dr wala lawyer bila mwalimu.....
Sio kuwa mwalimu wa primary ndio ana stahil heshima zaid?
Waalimu tuwaheshim guys, wanaish maisha duni sana lakin wana moyo sana kutufundishia watoto wetu