Mwalimu Mpwayungu Village aishi milele

Mwalimu Mpwayungu Village aishi milele

Akili za watanzania ni changamoto kaka!Sio tu kutufundishia watoto wetu,wametufundisha na sisi pia....sielewagi kabisa hii kasumba ya kuwadharau walimu.......Huwezi kuwa Dr wala lawyer bila mwalimu.....
Sio kuwa mwalimu wa primary ndio ana stahil heshima zaid?
Waalimu tuwaheshim guys, wanaish maisha duni sana lakin wana moyo sana kutufundishia watoto wetu
 
Hiyo si lazima iwe karatasi ya mwalimu. MPUUZI yeyote anaweza akamvimbisha bichwa MPUUZI nambari wani Mpwayungu
 
Akili za watanzania ni changamoto kaka!Sio tu kutufundishia watoto wetu,wametufundisha na sisi pia....sielewagi kabisa hii kasumba ya kuwadharau walimu.......Huwezi kuwa Dr wala lawyer bila mwalimu.....
Asante Kwa kuona umuhimu wetu
 
Akili za watanzania ni changamoto kaka!Sio tu kutufundishia watoto wetu,wametufundisha na sisi pia....sielewagi kabisa hii kasumba ya kuwadharau walimu.......Huwezi kuwa Dr wala lawyer bila mwalimu.....
Kwakwel hata mimi huwa inaniacha na maswali sana kwamba watu wanapata vipi ujasiri wa kuwadhalilisha hawa watu muhimu
 
Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii

Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya Tanganyika ameamua kulitaja jina la mwalimu huyu nguri/nguli katika moja ya maswali yake

Mwalimu aheshimiwe popote na kila mtu,
View attachment 2679748
Mwalimu ni mungu wa tatu duniani
🤷
 
Back
Top Bottom