Walimu mkumbuke kwamba maisha ni sehemu yoyote ile, hivyo asikudanganye mtu kwamba unapokwenda ni kubaya au kuzuri maisha sehemu yoyote ile cha kuzingatia ni kwamba fika sehemu husika angalia mazingira ya sehemu husika geuka nyuma angalia mbele, kushoto na kulia kuna vitu gani havipatikani katika sehemu husika halafu wewe zichukue kama changamoto na kuzigeuza kuwa fursa ili uweze kuishi kulingana na mazingira husika, kuishi mjini si kwamba kila kitu utafanikiwa kumbuka wewe ni mtu wa kuyabadilisha mazingira ili ufanikishe maisha yako. Sehemu nyingi za nchi yetu zipo vibaya lakini watu hizohizo sehemu wanaishi kwa kuzingatia dira ya masiha yako huna haja ya kuanza kulalamika na kushidwa kufikia malengo yako. Angalia fursa zilizopo na kuanza kuzitumia kazi njema huko mwendako.