Mwalimu mpya pita hapa upate madini

Mwalimu mpya pita hapa upate madini

spicies

Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
6
Reaction score
2
Walimu mkumbuke kwamba maisha ni sehemu yoyote ile, hivyo asikudanganye mtu kwamba unapokwenda ni kubaya au kuzuri maisha sehemu yoyote ile cha kuzingatia ni kwamba fika sehemu husika angalia mazingira ya sehemu husika geuka nyuma angalia mbele, kushoto na kulia kuna vitu gani havipatikani katika sehemu husika halafu wewe zichukue kama changamoto na kuzigeuza kuwa fursa ili uweze kuishi kulingana na mazingira husika, kuishi mjini si kwamba kila kitu utafanikiwa kumbuka wewe ni mtu wa kuyabadilisha mazingira ili ufanikishe maisha yako. Sehemu nyingi za nchi yetu zipo vibaya lakini watu hizohizo sehemu wanaishi kwa kuzingatia dira ya masiha yako huna haja ya kuanza kulalamika na kushidwa kufikia malengo yako. Angalia fursa zilizopo na kuanza kuzitumia kazi njema huko mwendako.
 
maisha popote pale asikwambie mtu unapopata changamoto ndipo akili inakuwa ugumu wa masiha ndio kipimo cha akili wewe unakabiri vipi hilo tatizo.
 
Kweli Mjini Fursa Zimeisha Na Chaka Bado Zipo Ngoja Ninyoshe Goti Kesho Nkasome Raman! Kesho Ndege Ndege!
 
hiyo ni kweli kabisa...la kuongezea tukawe watii na kuheshimu kazi, dai haki yako kisheria....wapo waalimu watakao pandikiza mbegu mbaya kwa wageni kuwa makini...
 
Kweli Mjini Fursa Zimeisha Na Chaka Bado Zipo Ngoja Ninyoshe Goti Kesho Nkasome Raman! Kesho Ndege Ndege!

Oya kijana vipi naona unataka unyooshe goti,umechoka kukunja gogo, duu kiboko yako gari ya sopu,
 
Back
Top Bottom