Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

Kwa sahivi watu aina hiyo hata hawatambuliki we waambie wakina dotto magari,baba level mwijaku ggy money
Na wasanii wakata mauno

Ova
 
Wengi ni uwezo binafsi na sio shule pekee, kuna factors nyingi zinazoweza kumfanya mtu awe na uwezo na sio shule/chuo pekee.

Ila kiurahisi wengi mnaconclude kua ni shule pekee.
 
Nchi yetu Ina watu wanauelewa Mdogo sana wa mambo.
Mpaka mtu anakuja kufika hiyo ilboru kwa miaka ile ina maana huyo ni kipanga tayari.

Kuna ndgu yangu nae alisoma hapo, tangu primary jamaa ni kichwa na anapenda kujisomea.
Akapiga ilboru form 1 mpaka 4, akaenda shule nyingine mkoa mwingine, huko akawa anaongoza kila mtihani wa mkoa huo, alikua PCB.
Je mtu huyu utasema ni zao la Ilboru??
 
Ofcoz Mee Kwayu naye apewe maua yake. Ni mtu understanding sana..
Very good man Mzee kwayu,,baada ya kwayu alikua muhaya mmoja mtata sana ,akaharibu mpaka tukaomba maandamano ,Majaliwa kasim akiwa naibu wazir tamisemi ndo alituokoa ,Majaliwa udumu sana ww ni mtu na nusu ,,,
 
J.J Shulla. Wakati Ilboru Alumni tunaenda kufanya Donation 2016 tulimkuta huyu Mwalimu.
Masomo ya sayansi na Sanaa magumu zaidi ni yapi? Kwangu ukisema mtu wa sayansi ana akili ninakuelewa, hakuna blaa blaaa. Arts washindane wao kwa wao.
 
Kuzidiwa kufanya nn? Musukuma unaweza ukamuweka kwenye mdahalo una husisha uchumi au Sheria za Nchi ? Msukuma mpe mada za JPM ajengewe sanamu ,au hoja ya Mbowe mashamba yake yachukuliwe au labda ccm isitoe wabunge darasa la Saba kwenye Bunge,,
 
KUNA MWAMBA PALE UDSM ANAITWA PRIF MOSHA WA HESABU SIJUI MA.A YUKO HAJ NA ULIKUWA USHAZALIWA HATAREE..NANUSU
 
Akiliza kukream

Ngoja nisubirie coet waje humu....
 
Kuzidiwa kufanya nn? Musukuma unaweza ukamuweka kwenye mdahalo una husisha uchumi au Sheria za Nchi ? Msukuma mpe mada za JPM ajengewe sanamu ,au hoja ya Mbowe mashamba yake yachukuliwe au labda ccm isitoe wabunge darasa la Saba kwenye Bunge,,
Wewe kariri maugoro ya principle za uchumi za kizungu , na latin maxim za sheria uone kama utafikia utajiri wa musukuma. Hiyo midahalo inasaidia nini wakati umeshindwa kuotumia kutengeneza Pesa?
 
Mtu apewe nishani wakati anachukua vipanga tupu,angepewa shule ya Kata halafu aipandishe ndio ningempa kongole zake
 
Badala muwape nishani walimu wa shule za kata unawaza kutoa nishani kwa mwalimu wa shule ya vipaji? Yaani mtu kapelekewa wanafunzi ambao ni cream. Yani amepelekewa the cleanest ambao hata usipowafundisha wanafaulu. Yani shule za Vipaji wala hazihitaji nguvu kubwa ya usimamizi.

Kama ni nishani wapeni wakuu wa shule za kata ambazo wanazoa zoa lkn mwisho wa siku wanatoa kwenda mbele huko.

Kwa Ilboro HAPANA

NAWASILISHA
 
Hao alumni wa Ilboru wamebadilisha maisha ya Nani?
 
Very good man Mzee kwayu,,baada ya kwayu alikua muhaya mmoja mtata sana ,akaharibu mpaka tukaomba maandamano ,Majaliwa kasim akiwa naibu wazir tamisemi ndo alituokoa ,Majaliwa udumu sana ww ni mtu na nusu ,,,
Mutabuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…