NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Nimemkumbuka Mwalimu aliyekuwa anajulikana kwa jina la Chief nilijitahidi nisichapwe bakora ila siku moja alitubananisha dining hall form five wote,tukala bakora na bwalo tukasafisha.Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto wa Mwl Mushi wanafanya makubwa
“
Tundu Antiphas Lissu
@TunduALissu
Follow
At a sprightly age of 87 years, Mzee Geoffrey Mushi, aka Mzee Bino, is as lucid a mind and as commanding a presence as when he served as my headmaster at Ilboru Secondary School in the early '80s. It's a rare privilege to catch up with him after nearly 40 years of separation.”
View attachment 2989040
View attachment 2989041
View attachment 2989042
View attachment 2989043
View attachment 2989044
View attachment 2989047
View attachment 2989048
View attachment 2989049
View attachment 2989050
Hapo sijaenda kwenye madaktari bigwa. Lakini kikubwa wote hawa wanasifu ubunifu wa Mwalimu Mushi. Cha ajabu tunatoa shahada na ma PHD kwa wanasiasa badala ya watu ambao wamebasilisha maisha ya watu wengi sana na kutengeneza vijana viongozi wazuri wa vizazi vingi
Ticha shembilu kama sijasahau jina lake na matango pori yake ya physics,, Chemistry mama mmoja hivi nafikiri alikuwa na shida flani hakuwa mentally okay.