Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

Nimemkumbuka Mwalimu aliyekuwa anajulikana kwa jina la Chief nilijitahidi nisichapwe bakora ila siku moja alitubananisha dining hall form five wote,tukala bakora na bwalo tukasafisha.
Ticha shembilu kama sijasahau jina lake na matango pori yake ya physics,, Chemistry mama mmoja hivi nafikiri alikuwa na shida flani hakuwa mentally okay.
 
Hivi kutoa madaktari na wanasheria ni kitu cha ajabu sana. Hicho kilipaswa kuwa kitu cha kawaida kitaifa. Kama taifa linajivunia watu wa kawaida kama madaktari na wanasheria kama kitu cha thamani sana basi hilo taifa lina safari ndefu.

Acha wengine wamiliki Nuclear Power.
 
Najihisi mwenye bahati kusoma Ilboru
Mkuu wa kipindi changu tulimwita Shula
Hahahahaha nimecheka na kukumbuka mbali Hilo jina la huyo mkuu alikuwa anapenda kujiita JJ SHULA kwani alitoka shuleni kwetu TOSAMAGANGA na kuletwa hapo Ilboru Kisha wa Ilboru wa kipindi hiko akaletwa Tosamaganga
 
Mleta uzi unaonekana ni kilaza.

Kwa hiyo ile cream aliyopelekewa unaona shule za kata wanaokomaa kiwalea wakina Januari Dr na Professor wao hawana maana?? Poor brain drain
 
Bino aliweka nidhamu kweli pale wakati tunasoma pale 1980s.
Ni jinsi gani ninaweza kujiunga kwenye group la Ilboru Alumni na mimi niweze kuchangia siku moja.
 
Kwa nini haea innovate,;invent and discover. Ubora wao ni kuongea ongea tu.
Nchi bado masikini sana.
 
Haina tofauti na kiongozi X aliyeenda kuangalia mpira uwanjani, halafu vyombo vya habari vinatangaza kiongozi X amewaongoza mashabiki wakati kila mtu ameenda kwa interest zake mwenyewe !!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…