Mwalimu Mwakasege: Dalili za Corona ni zile zile za magonjwa mengine tofauti yake Covid 19 imejaa Hofu kuu inayofanya wasio jasiri wajifiche

Wapi nimesema amewaunga mkono au kuwataja wanasiasa?!
 
Nilitaka kushangaa kwa kweli.
 
Mimi naongelea semina ya leo wewe unaleta mambo ya jana....... Tusichoshane bwashee!
 
Aliyazungumza hayo akiwa mkutano wa hadhara au "karantini"?
 
Huyu jamaa tangu ampigie simu Bashite, kumfikishia Jiwe sifa na pongezi nilimwona takataka.

Halafu hawa takataka wanadhani ni wao tu wanaojua kusoma Biblia
Usifikiri kusoma biblia ndio kuijua, na kwa jinsi ulivyoandika inaonekana wewe ndio taktaka.

Ukiacha ushabiki wa siasa ulionao hutaona mtu ni taktaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo magufuli kakimbia corona,
 

Kwanza naomba kudeclare interest, Mwalimu Mwakasege ni mmoja kati ya walimu nawasikiliza sana na kuwaelewa mno.

Nimesikiliza semina ya Mwalimu siku zote mpk leo. Zaidi nimesikia habari za semina zilizotangulia na namna tulikuwa tunapaswa kujiandaa na hili janga. Zaidi ya hayo kazungumza habari ya Nuhu na maandalizi ya Safina. Nimemsikia akizungumzia juu ya social distance jana kutoka kwa Biblia na namna tunavyopaswa kufuata maelekezo juu ya huu ugonjwa tulionao sasa.

Kasisitiza sana juu ya TOBA na kusema bila kupepesa kwamba ipo sehemu tumeenda tofauti na Mungu na kwa namna ingine hii yaweza kuwa ni adhabu.

Na kama umeelewa hiyo tauni ilikuweje kibiblia basi Nachelea kusema kuwa kuna vipengele umemuelewa sivyo Mwalimu kwa hiyo "My take" yako. Na kama umemuelewa basi bado ni mchanga/ Mtoto sana wewe (si kiumri).

Nikukumbushe tu kusoma Waebrania 5:14
"Lakini chakula kigumu ni kwa ajili ya watu waliokomaa, waliofunzwa kwa vitendo kubainisha mema na mabaya."

ili uweze kumuelewa Mwalimu.

Tatizo moja nimeliona kwako ni umesikiliza somo kwa sikio la siasa.

Na kama unaweza weka hiyo clip, weka na lile somo la juzi alilogusia 2Mambo ya Nyakati7:14 (ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekeza, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao).

Jiulize, yale maombi ya siku tatu "Tuliziacha Njia Zetu Mbaya, Kama viongozi, kama taifa, kama raia, kama kanisa n.k"

Ni muda wa TOBA TOBA TOBA
 
Huyu jamaa tangu ampigie simu Bashite, kumfikishia Jiwe sifa na pongezi nilimwona takataka.

Halafu hawa takataka wanadhani ni wao tu wanaojua kusoma Biblia
Ukiona hivyo sadaka zimekata
 
Mleta.mada hujaelewa msingi wa Hofu aliyofundisha invyofanya kazi. Acha kumuwekea maneno Mtumishi Mwl Mwakasege. Hakuna.mahali ameunga mkono hofu za wanasiasa unaowataja.
Amesisitiza kufuata maelekezo na kuchukua taadhari zote zinazotolewa na na wataalamu wa afya; pamoja Viongozi wa serikali ; kuepuka madhara zaidi Mbona Husemi kwamba kasema Nani angejua ndani ya miezi mitatu mambo yamesimama sababu ya pepo hili ?

Mbona husemi kasema.hili tatizo linagusa uchumi ,Hata kama uko kijijini kwa sababu dunia yote ..ni kijiji kimoja hivyo madhara yako kote kote? Haya ni mambo ya rohoni ; Sio kila kitu mnatafuta sifa ,kibaya chajitembeza na kizuti chajiuza

Hofu aliyofundisha ni ya mabadiliko yanayotokana na msimu/kipindi/majira mpya jinsi yanavyogopwa ;siyo corona !
Acha kumuwekea maneno !

Mbona hujasema Njia mojawapo aliyofundisha kuondoa hiyo hofu ni kumwamini Yesu Kristo wa Bibilia na kumpokea moyoni mwako awe Mwokozi wako ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dalili ni zile zile za magonjwa mliyo tangaza mnaombea na watu wanapona kwanini watenda miujiza wote wapo kimya hawataki kuwaponya watu dhidi ya corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…