daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 359
- 358
Du kuanzia sasa naanza kutoka nje kumbe Magufuli na Mwakasege wanaomgea lugha moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema amewaunga mkono au kuwataja wanasiasa?!Mleta.mada hujaelewa msingi wa Hofu aliyofundisha invyofanya kazi. Acha kumuwekea maneno Mtumishi Mwl Mwakasege. Hakuna.mahali ameunga mkono hofu za wanasiasa unaowataja.
Amesisitiza kufuata maelekezo na kuchukua taadhari zote zinazotolewa na na wataalamu wa afya; pamoja Viongozi wa serikali ; kuepuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kushangaa kwa kweli.Huyu muongo mtoa mada acha kumchafua mwl mwakasege hajasema ivyo nimesikiliza semina yote,Jana amesisitiza social distance akanukuu mpaka kwa Bible,na hofu aliyozungumza ni kwamba corona imekuja na hofu kwa kua dunia nzima imepigwa so watu wasiache toba au kuendelea kuomba kisa hofu ya corona,ndo maana hata yeye anajua corona ipo that why kafanya simina online
Mimi naongelea semina ya leo wewe unaleta mambo ya jana....... Tusichoshane bwashee!Huyu muongo mtoa mada acha kumchafua mwl mwakasege hajasema ivyo nimesikiliza semina yote,Jana amesisitiza social distance akanukuu mpaka kwa Bible,na hofu aliyozungumza ni kwamba corona imekuja na hofu kwa kua dunia nzima imepigwa so watu wasiache toba au kuendelea kuomba kisa hofu ya corona,ndo maana hata yeye anajua corona ipo that why kafanya simina online
Hio semina ni muendelezoMimi naongelea semina ya leo wewe unaleta mambo ya jana....... Tusichoshane bwashee!
Usishangae nenda youtube utamkuta na kufaidika sana!Nilitaka kushangaa kwa kweli.
I think this should happen here toooHebu angalao wasome epidemic ya Spanish flu ilivyomaliza watu kwa sababu ya wanasiasa
Hatimae wanasiasa walipoanza kufa na nafasi zao kuchukuliwa na raia wema ndio ugonjwa ukamalizwa
We should learn from history
Usifikiri kusoma biblia ndio kuijua, na kwa jinsi ulivyoandika inaonekana wewe ndio taktaka.Huyu jamaa tangu ampigie simu Bashite, kumfikishia Jiwe sifa na pongezi nilimwona takataka.
Halafu hawa takataka wanadhani ni wao tu wanaojua kusoma Biblia
Kama umemsikia leo Mwalimu Mwakasege amesisitiza kuwa Corona ni tauni.... Basi jana nilivyowaeleza hapa wapo waliobisha kama wewe kumbe Mwalimu aliwasikia!Hio semina ni muendelezo
Kwahiyo magufuli kakimbia corona,Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.
Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.
Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.
Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Nitaweka video clip baadae.
Source: Upendo tv
My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Waliokimbia Corona wanajulikana kwa sababu walitutangazia.Kwahiyo magufuli kakimbia corona,
Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.
Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.
Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.
Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Nitaweka video clip baadae.
Source: Upendo tv
My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Umemsikiliza au umecomment tu??Chadema watakuja kumlebo kila aina ya Matusi Mtumishi wa Mungu
Ukiona hivyo sadaka zimekataHuyu jamaa tangu ampigie simu Bashite, kumfikishia Jiwe sifa na pongezi nilimwona takataka.
Halafu hawa takataka wanadhani ni wao tu wanaojua kusoma Biblia
Mleta.mada hujaelewa msingi wa Hofu aliyofundisha invyofanya kazi. Acha kumuwekea maneno Mtumishi Mwl Mwakasege. Hakuna.mahali ameunga mkono hofu za wanasiasa unaowataja.Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.
Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.
Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.
Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Nitaweka video clip baadae.
Source: Upendo tv
My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Kama dalili ni zile zile za magonjwa mliyo tangaza mnaombea na watu wanapona kwanini watenda miujiza wote wapo kimya hawataki kuwaponya watu dhidi ya corona?Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.
Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.
Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.
Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Nitaweka video clip baadae.
Source: Upendo tv
My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Hajatangaza lakini vitendo vinaonyesha, kile kijiji kiko lock down 24/7, alafu ofisi ya nchi imehamia kijijini na likizo inaenda 30days+Waliokimbia Corona wanajulikana kwa sababu walitutangazia.
Uko sahihi kabisa.Mleta.mada hujaelewa msingi wa Hofu aliyofundisha invyofanya kazi. Acha kumuwekea maneno Mtumishi Mwl Mwakasege. Hakuna.mahali ameunga mkono hofu za wanasiasa unaowataja.
Amesisitiza kufuata maelekezo na kuchukua taadhari zote zinazotolewa na na wataalamu wa afya; pamoja Viongozi wa serikali ; kuepuka
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo kweli nenda you tube kasikilize semina yote utapata majibuDu kuanzia sasa naanza kutoka nje kumbe Magufuli na Mwakasege wanaomgea lugha moja.