Mwalimu Mwakasege: Dalili za Corona ni zile zile za magonjwa mengine tofauti yake Covid 19 imejaa Hofu kuu inayofanya wasio jasiri wajifiche

Sijawahi sikia harambee ya malalria, wala ukimwi, awamu hii nimechangia mabilioni ya corona, na wazalemdo tumechanga zaidi ya bil 6. Kwahiyo tumetapeliwa
 
Akaendelee kushinda madhabahuni maana inaonekana wanaokufa kwa corona ni watenda dhambi wakubwa sana.
 
Huyu mzee ndo mwanae alikufa kwa stress za mapenzi, hawa matapeli bana!
 
Kuna Uzi humu unadai huyu babu alimtanguliza muimbaji maarufu "Sekedia"
 
Bwashee mimi huwa sipendi kucomplicate mambo labda ndio uchanga kwa tafsiri yako.

Mwalimu Mwakasege kasema direct kwamba Corona ni tauni.

Pili Corona imejaa hofu ndio maana watu wanajificha ( karantini)

Mwalimu Mwakasege amesema wakati WEWE unaiogopa Corona wenzio wanaichukulia kama fursa na kuchapa kazi kiujasiri.

Binafsi ni mwanafunzi wa Mwalimu Mwakasege na leo asubuhi nimeisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Magufuli pale Ikulu ndogo ya Chato....... Nasisitiza kuwa sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu!
 

Asikiaye na afahamu. Baada ya kuona post zako nimekuelewa. Asante kwa muda wako.
 
Hajatangaza lakini vitendo vinaonyesha, kile kijiji kiko lock down 24/7, alafu ofisi ya nchi imehamia kijijini na likizo inaenda 30days+
Sasa mbona Mwigullu ametoka Dodoma kwenye Corona na ameruhusiwa kuingia tena hakuvaa hata barakoa!
 
Sasa mbona Mwigullu ametoka Dodoma kwenye Corona na ameruhusiwa kuingia tena hakuvaa hata barakoa!
Ndo nashanga hayo maigizo ya kukimbia corona ya dar alafu bado unakutana na corona chato. Sisi tuliosoma enzi za mkoloni tulifundishwa somo la logic. Mkuu wetu huenda alisoma enzi za UPE
 
Ndo nashanga hayo maigizo ya kukimbia corona ya dar alafu bado unakutana na corona chato. Sisi tuliosoma enzi za mkoloni tulifundishwa somo la logic. Mkuu wetu huenda alisoma enzi za UPE
Upe wamesoma hawa akina Freeman!
 
Angemfufua mtoto wake ndio ningejua ana karama...Mathayo 17:20 Kwa kweli ninawaambia, mkiwa na imani inayolingana na mbegu ya haradali, mtauambia mlima huu, ‘Ondoka hapa uende pale,’ nao utaondoka, na hakuna jambo litakalowashinda.”
Bwashee karama ziko tofauti tofauti!
 
Sasa mbona Mwigullu ametoka Dodoma kwenye Corona na ameruhusiwa kuingia tena hakuvaa hata barakoa!
Mwigulu hawezi kukanyaga huko bila kufanyiwa kipimo cha corona wewe. Acha kudanganya watu. Aende bila kupimwa ili apeleke corona huko!? Alaa!
 
Usifikiri kusoma biblia ndio kuijua, na kwa jinsi ulivyoandika inaonekana wewe ndio taktaka.

Ukiacha ushabiki wa siasa ulionao hutaona mtu ni taktaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yeye haijui biblia, kwani yeye ana hisa na Mungu.

Kamwambie akahubiri vijijini huko, asikomalie kujifanya anahubiri sehemu zenye mzunguko mkubwa wa pesa.

Matapeli mliokubuhu, endeleeni kudanganya misukule, mtapigwa moto kama Kibwetere

Wahubiri walikuwa kina Paulo, Stephano, Yohana Mbatizaji siyo ninyi mnaojifanya KULA MEZANI kwa WAFALME wanaonuka Damu za Akwilini Akwilini, Azory Gwanda, Tundu Lissu na Kina Mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…