The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Mwakasege ni kipimo?Kama mtumishi Mwakasege kasema hivi basi sina haja ya kuogopa tena, and JPM was right...tunatishana tishana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwakasege ni kipimo?Kama mtumishi Mwakasege kasema hivi basi sina haja ya kuogopa tena, and JPM was right...tunatishana tishana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama umesikiliza semina kama mimi?Nilitaka kushangaa kwa kweli.
Hapana.Mama umesikiliza semina kama mimi?
Akaendelee kushinda madhabahuni maana inaonekana wanaokufa kwa corona ni watenda dhambi wakubwa sana.Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.
Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.
Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.
Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Nitaweka video clip baadae.
Source: Upendo tv
My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Naona CHADEMA inakupa NightmaresChadema watakuja kumlebo kila aina ya Matusi Mtumishi wa Mungu
Huyu mzee ndo mwanae alikufa kwa stress za mapenzi, hawa matapeli bana!Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.
Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.
Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.
Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Nitaweka video clip baadae.
Source: Upendo tv
My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Kuna Uzi humu unadai huyu babu alimtanguliza muimbaji maarufu "Sekedia"Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.
Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na si kujificha.
Mwakasege amerudia tena kusema Covid 19 ni tauni kwa mujibu wa Biblia japokuwa wanasayansi wanaweza kuwa na tafsiri zao za kidunia. Hofu ya Corona ndio inayosababisha watu wamkimbie Mungu badala ya kumkimbilia kitu ambacho si sahihi.
Kujificha na kuacha kufanya kazi siyo njia sahihi ya kudhibiti Corona kwani kila nchi inapaswa kuwa na njia zake za kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
Nitaweka video clip baadae.
Source: Upendo tv
My take;
Baada ya kusikiliza mafundisho haya sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Bwashee mimi huwa sipendi kucomplicate mambo labda ndio uchanga kwa tafsiri yako.Kwanza naomba kudeclare interest, Mwalimu Mwakasege ni mmoja kati ya walimu nawasikiliza sana na kuwaelewa mno.
Nimesikiliza semina ya Mwalimu siku zote mpk leo. Zaidi nimesikia habari za semina zilizotangulia na namna tulikuwa tunapaswa kujiandaa na hili janga. Zaidi ya hayo kazungumza habari ya Nuhu na maandalizi ya Safina. Nimemsikia akizungumzia juu ya social distance jana kutoka kwa Biblia na namna tunavyopaswa kufuata maelekezo juu ya huu ugonjwa tulionao sasa.
Kasisitiza sana juu ya TOBA na kusema bila kupepesa kwamba ipo sehemu tumeenda tofauti na Mungu na kwa namna ingine hii yaweza kuwa ni adhabu.
Na kama umeelewa hiyo tauni ilikuweje kibiblia basi Nachelea kusema kuwa kuna vipengele umemuelewa sivyo Mwalimu kwa hiyo "My take" yako. Na kama umemuelewa basi bado ni mchanga/ Mtoto sana wewe (si kiumri).
Nikukumbushe tu kusoma Waebrania 5:14
"Lakini chakula kigumu ni kwa ajili ya watu waliokomaa, waliofunzwa kwa vitendo kubainisha mema na mabaya."
ili uweze kumuelewa Mwalimu.
Tatizo moja nimeliona kwako ni umesikiliza somo kwa sikio la siasa.
Na kama unaweza weka hiyo clip, weka na lile somo la juzi alilogusia 2Mambo ya Nyakati7:14 (ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekeza, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao).
Jiulize, yale maombi ya siku tatu "Tuliziacha Njia Zetu Mbaya, Kama viongozi, kama taifa, kama raia, kama kanisa n.k"
Ni muda wa TOBA TOBA TOBA
Huyu jamaa tangu ampigie simu Bashite, kumfikishia Jiwe sifa na pongezi nilimwona takataka.
Halafu hawa takataka wanadhani ni wao tu wanaojua kusoma Biblia
Bwashee mimi huwa sipendi kucomplicate mambo labda ndio uchanga kwa tafsiri yako.
Mwalimu Mwakasege kasema direct kwamba Corona ni tauni.
Pili Corona imejaa hofu ndio maana watu wanajificha ( karantini)
Mwalimu Mwakasege amesema wakati WEWE unaiogopa Corona wenzio wanaichukulia kama fursa na kuchapa kazi kiujasiri.
Binafsi ni mwanafunzi wa Mwalimu Mwakasege na leo asubuhi nimeisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Magufuli pale Ikulu ndogo ya Chato....... Nasisitiza kuwa sina shaka Rais Magufuli ni chaguo la Mungu!
Sasa mbona Mwigullu ametoka Dodoma kwenye Corona na ameruhusiwa kuingia tena hakuvaa hata barakoa!Hajatangaza lakini vitendo vinaonyesha, kile kijiji kiko lock down 24/7, alafu ofisi ya nchi imehamia kijijini na likizo inaenda 30days+
Ndo nashanga hayo maigizo ya kukimbia corona ya dar alafu bado unakutana na corona chato. Sisi tuliosoma enzi za mkoloni tulifundishwa somo la logic. Mkuu wetu huenda alisoma enzi za UPESasa mbona Mwigullu ametoka Dodoma kwenye Corona na ameruhusiwa kuingia tena hakuvaa hata barakoa!
Upe wamesoma hawa akina Freeman!Ndo nashanga hayo maigizo ya kukimbia corona ya dar alafu bado unakutana na corona chato. Sisi tuliosoma enzi za mkoloni tulifundishwa somo la logic. Mkuu wetu huenda alisoma enzi za UPE
Bwashee karama ziko tofauti tofauti!Angemfufua mtoto wake ndio ningejua ana karama...Mathayo 17:20 Kwa kweli ninawaambia, mkiwa na imani inayolingana na mbegu ya haradali, mtauambia mlima huu, ‘Ondoka hapa uende pale,’ nao utaondoka, na hakuna jambo litakalowashinda.”
sasa mwambie jamaa atoke mafichoni huko chuttle. Corona ni kutishana tu.Kama mtumishi Mwakasege kasema hivi basi sina haja ya kuogopa tena, and JPM was right...tunatishana tishana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwigulu hawezi kukanyaga huko bila kufanyiwa kipimo cha corona wewe. Acha kudanganya watu. Aende bila kupimwa ili apeleke corona huko!? Alaa!Sasa mbona Mwigullu ametoka Dodoma kwenye Corona na ameruhusiwa kuingia tena hakuvaa hata barakoa!
Hata yeye haijui biblia, kwani yeye ana hisa na Mungu.Usifikiri kusoma biblia ndio kuijua, na kwa jinsi ulivyoandika inaonekana wewe ndio taktaka.
Ukiacha ushabiki wa siasa ulionao hutaona mtu ni taktaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mwalimu mwakasege anatakiwa ajitafakari, mbona dalili za Ukimwi ni zile zile za TB ina maana UKIMWI haupo?
Sent using Jamii Forums mobile app