mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mwalimu mwakasege ni mwalimu hana kanisa wala dhehebu utachagua wewe mwenyewe pa kwenda ila yeye mwenyewe anasali Lutheran (KKKT)Ikitokea nimeokoka katika mkutano wake akiondoka ntakuwa nasali wapi?
Mbona povuu?Huduma ya "ualimu" ni huduma inayopaswa kuwa chini ya uangalizi wa mchungaji. Sasa huyu mwalimu anayezunguka huko na huko wala hana kanisa ananishangaza sana. Anashangaza kwasababu anajaribu kuifanya huduma ya ualimu ni huduma inayojetegemea, which is spiritually impractical.
Kingine, kazi ya mwalimu ni kukuza wakristo ambao tayari wameshamjua Yesu kwa lengo la kuwakamilisha (Waefeso 4:12). Huduma hii haiwalengi mataifa kama hduma ya uinjilisti. Lakini mwalimu huyu mikutano yake wanahudhuria wazinzi, walevi, wala rushwa, vibaka eti kuja kusikiliza neno la Mungu. Halafu baada ya hapo wala hajali kama wanaabudu wapi.
Unamlinganisha Yesu na Mwakasege? PoleeeMbona povuu?
Yesu alikuwa mwalimu wa dini ya kiyahudi yaani "Rabi" je Yesu alifanya kazi chini ya mchungaji?
Je Yesu hakuwafundisha wasioamini neno la injili?
Mwakasege ni mwalimu na anafundisha neno la Mungu sio kwamba anahubiri wala nini na neno la Mungu lipo kwa mataifa yote.
Kama umekereka na title sema
Acha uongo basi "anafundisha mafundisho yasiokuepo kwenye bibilia, anatunga tunga tu' kwahiyo kwenye mikutano yake hasomi toka kwenye vitabu vya bibilia?Unamlinganisha Yesu na Mwakasege? Poleee
Wakati wa huduma ya Yesu kanisa lilikikuwa halijaanza. Baada ya kupaa, ndipo kanisa likaanza chini ya Roho Mtakatifu. Kanisa la Kristo lazima liwe na utaratibu wa kihuduma na kiuongoza. Hduma zote 5 lazima zilelelewe chini ya uangalizi wa mchungaji.
Huyo Mwakasege ni mpigaji tu. Anafundisha mafundisho ya ajabu ajabu yaliyojaa upotevu mwingi. Mara kumkomboa mzaliwa wa kwanza nk. Mafundisho ambayo kimsingi hata kwenye Biblia hayapo, ila yeye anayatunga tu. Na hii ndiyo sababu hana mchungaji anayemuongoza. Hakuna mchungaji anayejua Biblia atakayesapoti upotovu wa kiwango hiki.
Of course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.Acha uongo basi "anafundisha mafundisho yasiokuepo kwenye bibilia, anatunga tunga tu' kwahiyo kwenye mikutano yake hasomi toka kwenye vitabu vya bibilia?
Au ulitaka awe anatoa story za watu kwenye bible as if he tought Sunday schools students?
Of course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.
Hata wayahudi waliona Paulo anafundisha kinyume nawaoOf course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.
Unamlinganisha Yesu na Mwakasege? Poleee
Wakati wa huduma ya Yesu kanisa lilikikuwa halijaanza. Baada ya kupaa, ndipo kanisa likaanza chini ya Roho Mtakatifu. Kanisa la Kristo lazima liwe na utaratibu wa kihuduma na kiuongoza. Hduma zote 5 lazima zilelelewe chini ya uangalizi wa mchungaji.
Huyo Mwakasege ni mpigaji tu. Anafundisha mafundisho ya ajabu ajabu yaliyojaa upotevu mwingi. Mara kumkomboa mzaliwa wa kwanza nk. Mafundisho ambayo kimsingi hata kwenye Biblia hayapo, ila yeye anayatunga tu. Na hii ndiyo sababu hana mchungaji anayemuongoza. Hakuna mchungaji anayejua Biblia atakayesapoti upotovu wa kiwango hiki.
Christopher Mwakasege ni Mlutheli, acha gubu dadaHuduma ya "ualimu" ni huduma inayopaswa kuwa chini ya uangalizi wa mchungaji. Sasa huyu mwalimu anayezunguka huko na huko wala hana kanisa ananishangaza sana. Anashangaza kwasababu anajaribu kuifanya huduma ya ualimu ni huduma inayojetegemea, which is spiritually impractical.
Kingine, kazi ya mwalimu ni kukuza wakristo ambao tayari wameshamjua Yesu kwa lengo la kuwakamilisha (Waefeso 4:12). Huduma hii haiwalengi mataifa kama hduma ya uinjilisti. Lakini mwalimu huyu mikutano yake wanahudhuria wazinzi, walevi, wala rushwa, vibaka eti kuja kusikiliza neno la Mungu. Halafu baada ya hapo wala hajali kama wanaabudu wapi.
Kazi ya dini ni kuisaidia roho yako siyo mwili wako. Mwili husaidiwa na maarifa ya kielimu, rasmi na ile isiyo rasmiSidhani Kama haya mafundisho huwa yanawasaidia watu. Wanavyozidi kusikiliza ndivyo wanavyozidi kupigika, kuwa wambeya zaidi, wezi, wahuni, wakonjwa etc.
Kuna haja ya kuwa na mjadara wa kitaifa kuona Kama dini zetu zinatusaidia au lah
Ni mlutheri? Mchungaji wa kanisa lake analosali anaitwa nani?Christopher Mwakasege ni Mlutheli, acha gubu dada
Ni mlutheri? Mchungaji wa kanisa lake analosali anaitwa nani?
You are so uninformed regarding spiritual mattersDada Jane Lowassa sina hakika Kama wewe unaweza au umekidhi vigezo vya kumkosoa mwakasege.
Alienza huduma alio nayo mpaka Sasa tokea mwanzoni wa miaka 80, yawezakua ulikua mchanga sana na pengine hata kuzaliwa huwenda ilikua bado.
Zimekuwapo huduma nyingi zilizoanza mbele yake sana na nyingine zimeanza juzi juzi tu lakini zimekwisha kufa kitambo sana.
Sina hakika Kama wewe unazifahamu habari za Mungu kuliko wote ambao wameitika ya kwamba huduma ya mwakasege iko chini ya uongozi wa Mungu.
Tuseme tuu hautoshi kumkosoa ndugu yangu labda uwe haumaanishi.