Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kauliza Arusha huko, Mimi Niko DMPNi mlutheri? Mchungaji wa kanisa lake analosali anaitwa nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauliza Arusha huko, Mimi Niko DMPNi mlutheri? Mchungaji wa kanisa lake analosali anaitwa nani?
Ulitaka ahubiri kukomboa dabo Kiki na kukomboa jackpot ya sportpesa?You are so uninformed regarding spiritual matters
Ukamilifu wa huduma haupimwi kwa muda mrefu kiasi gani huduma imekuwepo, bali kwa kiasi gani huduma inatangaza neno halisi la Yesu.
Biblia kwenye 1Yoh 4:1 inatukumbusha kuzijaribu roho kama kweli zimetoka kwa Mungu, and the effective way to do this ni kupima kinachohubiri under the microscope of the Holy Spirit.
Sasa angalia mafundisho ya Mwakasege yalivyo mapotovu. Anahubiri juu ya kutafsiri ndoto, kukomboa mzaliwa wa kwanza, mara utasikia kukomboa ardhi. Yaani vitu vya ajabu ajabu.
Yeye anakaa Arusha mjini. Atakuwa anasali KKKT mojawapo hapo jijiniNi mlutheri? Mchungaji wa kanisa lake analosali anaitwa nani?
Ndiyo nimekuambia hana mchungaji. Na kwakuwa hana mchungaji basi hana kanisa. Mimi nipo ArushaKauliza Arusha huko, Mimi Niko DMP
We hata huelewi chochote juu ya mambo ya Mungu.Ulitaka ahubiri kukomboa dabo Kiki na kukomboa jackpot ya sportpesa?
We hata huelewi chochote juu ya mambo ya Mungu.
Yaweza kua sijui sana mambo ya kiroho ndio, hata yule askari aliekua msalabani pale aliposulubiwa Yesu alishuhudia yakua Yesu alitoka kwa Mungu kweli. Japo hakua kiroho lakini alitoa ushuhuda wa kiroho.You are so uninformed regarding spiritual matters
Ukamilifu wa huduma haupimwi kwa muda mrefu kiasi gani huduma imekuwepo, bali kwa kiasi gani huduma inatangaza neno halisi la Yesu.
Biblia kwenye 1Yoh 4:1 inatukumbusha kuzijaribu roho kama kweli zimetoka kwa Mungu, and the effective way to do this ni kupima kinachohubiri under the microscope of the Holy Spirit.
Sasa angalia mafundisho ya Mwakasege yalivyo mapotovu. Anahubiri juu ya kutafsiri ndoto, kukomboa mzaliwa wa kwanza, mara utasikia kukomboa ardhi. Yaani vitu vya ajabu ajabu.
Huduma ya "ualimu" ni huduma inayopaswa kuwa chini ya uangalizi wa mchungaji. Sasa huyu mwalimu anayezunguka huko na huko wala hana kanisa ananishangaza sana. Anashangaza kwasababu anajaribu kuifanya huduma ya ualimu ni huduma inayojetegemea, which is spiritually impractical.
Kingine, kazi ya mwalimu ni kukuza wakristo ambao tayari wameshamjua Yesu kwa lengo la kuwakamilisha (Waefeso 4:12). Huduma hii haiwalengi mataifa kama hduma ya uinjilisti. Lakini mwalimu huyu mikutano yake wanahudhuria wazinzi, walevi, wala rushwa, vibaka eti kuja kusikiliza neno la Mungu. Halafu baada ya hapo wala hajali kama wanaabudu wapi.
Kama hujui hata tofauti kati ya Mungu na mungu, basi hakika wewe unahitaji msaada mkubwa sana wa kiroho.Inategemea na mungu yupi, huyo mungu wako sadist hakika sihitaji kujua chochote chake
Kuna walimu huwa Wapo kwa ajili ya kufundisha hao watu kila baada ya seminaIkitokea nimeokoka katika mkutano wake akiondoka ntakuwa nasali wapi?
Jane wewe ni Mungu yupi unaaemjua?We hata huelewi chochote juu ya mambo ya Mungu.
Huduma ya "ualimu" ni huduma inayopaswa kuwa chini ya uangalizi wa mchungaji. Sasa huyu mwalimu anayezunguka huko na huko wala hana kanisa ananishangaza sana. Anashangaza kwasababu anajaribu kuifanya huduma ya ualimu ni huduma inayojetegemea, which is spiritually impractical.
Kingine, kazi ya mwalimu ni kukuza wakristo ambao tayari wameshamjua Yesu kwa lengo la kuwakamilisha (Waefeso 4:12). Huduma hii haiwalengi mataifa kama hduma ya uinjilisti. Lakini mwalimu huyu mikutano yake wanahudhuria wazinzi, walevi, wala rushwa, vibaka eti kuja kusikiliza neno la Mungu. Halafu baada ya hapo wala hajali kama wanaabudu wapi.
Huduma ya "ualimu" ni huduma inayopaswa kuwa chini ya uangalizi wa mchungaji. Sasa huyu mwalimu anayezunguka huko na huko wala hana kanisa ananishangaza sana. Anashangaza kwasababu anajaribu kuifanya huduma ya ualimu ni huduma inayojetegemea, which is spiritually impractical.
Kingine, kazi ya mwalimu ni kukuza wakristo ambao tayari wameshamjua Yesu kwa lengo la kuwakamilisha (Waefeso 4:12). Huduma hii haiwalengi mataifa kama hduma ya uinjilisti. Lakini mwalimu huyu mikutano yake wanahudhuria wazinzi, walevi, wala rushwa, vibaka eti kuja kusikiliza neno la Mungu. Halafu baada ya hapo wala hajali kama wanaabudu wapi.
Christopher Mwakasege ni Mlutheli, acha gubu dada
Hamjui hata Sedekia eeh.Dada Jane Lowassa sina hakika Kama wewe unaweza au umekidhi vigezo vya kumkosoa mwakasege.
Alienza huduma alio nayo mpaka Sasa tokea mwanzoni wa miaka 80, yawezakua ulikua mchanga sana na pengine hata kuzaliwa huwenda ilikua bado.
Zimekuwapo huduma nyingi zilizoanza mbele yake sana na nyingine zimeanza juzi juzi tu lakini zimekwisha kufa kitambo sana.
Sina hakika Kama wewe unazifahamu habari za Mungu kuliko wote ambao wameitika ya kwamba huduma ya mwakasege iko chini ya uongozi wa Mungu.
Tuseme tuu hautoshi kumkosoa ndugu yangu labda uwe haumaanishi.
We hata huelewi chochote juu ya mambo ya Mungu.
Wewe unajihangaisha bure kumtolea maelezo huyo JL yeye mwenyewe mtima wake ni shimo tupu koo lake ni kaburi wazi tena ulimi wake hujipendekeza.Yaweza kua sijui sana mambo ya kiroho ndio, hata yule askari aliekua msalabani pale aliposulubiwa Yesu alishuhudia yakua Yesu alitoka kwa Mungu kweli. Japo hakua kiroho lakini alitoa ushuhuda wa kiroho.
Bahati mbaya sana nyinyi mlio wa kiroho ndio mfanya hata jina la Mungu kutukanwa kwa sababu ya kujihesabia haki kwenu na kuona wengine hawapasi kuwepo kwa sababu hawapo kama nyinyi mtakavyo.
Hio huduma ya mwakasege ilishapimwa na kurazamwa na darubini hiyo ya kiroho kabla yako na kuonekana haina kasoro.
Labda wewe una hoja ngoja tukusikilize Jane Lowassa