GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilipoliona tu hapo juu katika 'Headline' yako neno hilo la 'MANA' nilishtuka kidogo kwakuwa naongea pia 'Kiganda' na hilo neno Kwao ni Tusi hasa.Mwalimu Christopher Mwakasege yupo jijini mbeya toka tarehe 15/10/2020 akifundisha neno la Mungu lenye kichwa cha habari "Imarisha imani yako kuelekea msimu mpya"
Binafsi nimebarikiwa sana
Ungana nae kupitia upendo TV kwa azamtv na startime decorder ,mbarikiwe wana jamii forum.
Mytake
Hivi kichwa cha somo hakihusiani na uchaguzi?