Mwalimu Mwakasege yupo Mbeya kwa Huduma ya kiroho (MANA)

Ulitaka ahubiri kukomboa dabo Kiki na kukomboa jackpot ya sportpesa?
 
Yaweza kua sijui sana mambo ya kiroho ndio, hata yule askari aliekua msalabani pale aliposulubiwa Yesu alishuhudia yakua Yesu alitoka kwa Mungu kweli. Japo hakua kiroho lakini alitoa ushuhuda wa kiroho.



Bahati mbaya sana nyinyi mlio wa kiroho ndio mfanya hata jina la Mungu kutukanwa kwa sababu ya kujihesabia haki kwenu na kuona wengine hawapasi kuwepo kwa sababu hawapo kama nyinyi mtakavyo.


Hio huduma ya mwakasege ilishapimwa na kurazamwa na darubini hiyo ya kiroho kabla yako na kuonekana haina kasoro.

Labda wewe una hoja ngoja tukusikilize Jane Lowassa
 
Hata wanaopitisha wabunge bila uchaguzi na wezi wa kura pia wanahudhuria.
 
Inategemea na mungu yupi, huyo mungu wako sadist hakika sihitaji kujua chochote chake
Kama hujui hata tofauti kati ya Mungu na mungu, basi hakika wewe unahitaji msaada mkubwa sana wa kiroho.
 
Tatizo lako wewe imeharibiwa akili na ccm hivyo kama humuelewe mwalimu Mwakasege huku unawaelewa ccm na nyimbo zao za matusi itakuwa umerogwa wewe na kuyumbishwa akili na chorus za zidumu fikra batili za mwenyekiti wa chama 😁😁
 
Tatizo lako wewe imeharibiwa akili na ccm hivyo kama humuelewe mwalimu Mwakasege huku unawaelewa ccm na nyimbo zao za matusi itakuwa umerogwa wewe na kuyumbishwa akili na chorus za zidumu fikra batili za mwenyekiti wa chama 😁😁
 
Hamjui hata Sedekia eeh.
 
We hata huelewi chochote juu ya mambo ya Mungu.

Huna integrity yoyote ya kuweza kuhoji juu ya huduma ya watumishi wa Mungu. Mwenye uwezo wa kuhukumu ni yeye mwenye kanisa pekee.

Bujibuji amesema vyema huduma yake imedumu tokea 1980's imeendelea kukua, ungekuwa vizuri Kiroho na uhakika Roho wa Mungu ndani yako angekuambia inamaanisha nini huduma kuwepo kwa muda wote huo.

Acheni kumezeshwa mapokeo ya kucriticise kila huduma ya Kristo kwa lengo tu la kuhisi labda makanisa yenu yatapoteza waumini.

Soma 1 Kor 3: 11- 15,

Msingi alikwisha uweka Kristo, kila mtu ajengae katika msingi huo kazi yake itapimwa siku ya mwisho. Acha kuhukumu mwachie Mungu ahukumu watu wake mwenyewe. Usijivike koti la Utukufu wake katika kuhukumu.
 
Wewe unajihangaisha bure kumtolea maelezo huyo JL yeye mwenyewe mtima wake ni shimo tupu koo lake ni kaburi wazi tena ulimi wake hujipendekeza.

Utamuweza😀!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…