Mwalimu Mwakasege yupo Mbeya kwa Huduma ya kiroho (MANA)

Nilipoliona tu hapo juu katika 'Headline' yako neno hilo la 'MANA' nilishtuka kidogo kwakuwa naongea pia 'Kiganda' na hilo neno Kwao ni Tusi hasa.
 
Of course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.
Hahah..huyoo ndo mrokole Jane Rouwasaree mmasai wa munduriii..anaejua tafsiri za roho mtakatifu..mwenzako kawakaribisha watu kwenye seminar wewe unakuja na tafsir zingine..ulipaswaa kupita tu na kuacha kuongea hayo maneno..pole yako
 
Bila shaka ww ndo wale mnaoitwa vyumbani mwa wachungaji wenu na kupewa huduma..kama bado unaamini biblia anaeijua ni mchungaji pole..
Biblia unafundishwa ma ROHO MTAKATIFU..Paul hakufundishwa na mtu BIBLIA ila BWANA pekee ndio aliemfundisha..
Pole mlokole.
 
Nimekuelewa dada.Mapepo huwa hayapendi kusikia neno la Mungu likihubiriwa kwa usahihi

Tena yanapenda sana kuchukia mtu anayeleta nuru gizani.Sawa na dikteta anavyo wachukia wanaotetea haki.

Maana sijaona hapa ulivyozijaribu hizo Roho kama zimetoka kwa Mungu.

Tutaendelea kuombeana,sababu ulifanyaro hata wewe mwenyewe hulipendi.
 
Nilipoliona tu hapo juu katika 'Headline' yako neno hilo la 'MANA' nilishtuka kidogo kwakuwa naongea pia 'Kiganda' na hilo neno Kwao ni Tusi hasa.
Kasome bibilia vizuri Kitabu cha kutoka 'mana' ni chakula toka mbinguni
 
Hata bwana Yesu alisema katika Luka 5:32



"Sikuja kwa ajili ya wenye haki bali nimekuja kuwaita wenye dhambi ili watubu.”




Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Weeee mataga kila kitu unajifanya unajua wakati hujui anasali K.K.K.T haya una semaje
 
We mdada skupendi!!!! Yaan nataman niskie umekufa
 
Spiritually impractical? Umetumia kigezo gani au kifungu gani cha biblia kufikia hii conclusion?

Yaani unashangaa mtu anayehubiri neno la Mungu kwa walevi, wazinzi et al kwa kisingizio ye ni mwalimu afundishe watu waliolishika neno zaidi?

Hata Mafarisayo na Waalimu wa sheria walikua na utaratibu wa kidini, ila haikumaaisha walikua sawa dada.

Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
 
Of course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.
"Tafsiri ya tofauti ya Roho Mtakatifu"

Ninachojua Roho humwelekeza yeyote amuombaye na amtakaye, wewe kwa tafsiri yako ambayo umeongozwa na Roho ndiyo inakufanya ukemee wazinzi, walevi, wala rushwa kwenda kwenye neno la Mungu?

Hukumbuki Yesu aliposema mwenye afya hamuhitaji tabubu bali aliye mgonjwa?

Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
 
Of course, anasoma kwenye Biblia lakini anatoa tafsiri tofauti na ile ya Roho Mtakatifu. Na in fact hiyo ndiyo sifa kubwa ya walimu wa uongo, yaani kujifanya wanatumia Biblia kwa lengo la kusapoti tafsiri zao binafsi.
Heee!!!ww mama ndo roho mtakatifu au????kiasi kwamba unajua tafsiri hii ni ya roho au siyo??
 
Leo umeongea point.Hongera binti Lowasa.Lkn naomba nikukosoe kidogo,Samahani lkn kwasababu leo sipendi kukosoa watu.Ni hivi hapo mwanzo upo sawa,lkn umeteleza kidogo mwishoni,hivi hao unaosema kuwa ni wazinzi,wala rushwa,n.k.Si ndo kondoo waliopotea?,Je,Yesu si alikula na kunywa nao?,akasema Yeye amekuja kwaajili ya wadhambi na sio wakamilifu?,hivyo basi mkutano wake kujaa wenye dhambi sio shida,itakuwa shida ikiwa Utasheheni Watakatifu tu.
 
Mtumishi kwanini unatumia nguvu nyingi kiasi hiki kumtetea Mwakasege,Ushauri wangu,Maadam Mwakasege anafanya kazi ya Mungu acha tu km ni kweli au si kweli,sio kazi yako ,Mwachie Mungu afanye kazi yake.Yesu alishasema Tutawatambua kwa matunda yao,sasa ya nini kuvutana?.
 
Ni muumini wa Lutheran Church
 
Kuna walimu huwa Wapo kwa ajili ya kufundisha hao watu kila baada ya semina

JESUS IS LORD[emoji120]
This is confusing...
Dini ni mfumo wa maisha.. na katika mfumo.huu tunakutana na wenzetu kwa utaratibu ili kuendelea kujifunza na kutiana moyo. Na hiyo nadhani ndio maana tunakuwa na wachungaji... Wanaochunga walioamini.

Sasa mwalimu anayefreelance anakufundisha kujishikamanisha na nani!? Nira yako unajifunga na nani!? Au unajiamulia!? Kama unajiamulia anakuwa amekusaidiaje kukuchunga!?



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Roho Mtakatifu alizigawa hizi huduma specifically kwa ajili ya makundi tofauti ya watu. Point yangu ni kuwa kila moja ya huduma zile 5 inalenga kundi Fulani la watu. Huduma ya uinjilisti ndiyo inalenga aina hizo za wenye dhambi, huduma ya uchungaji kanisa kwa ujumla nk.

Huduma ya ualimu/ kufundisha inalenga watu ambao hapo awali walikuwa wenye dhambi na sasa wapo kanisani ili kukuzwa wapate kuufikia ukamilifu wa Kristo.

Sasa jaribu kufuatilia kituko cha mikutano ya Mwakasege uone. Yeye amekusanya mchanganyiko wa waliookoka, wapagani, makahaba, walevi, wanaotafuta wachumba. Yaani full mchanganyiko. Then anaanza kuwafundisha( kumbuka huduma yake siyo uinjilisti). Hivi hapo kuna lengo lolote linafikiwa wakati targeted audience yenyewe imeshakosewa?

No wonder mafundisho yanayofundishwa ni potofu lakini watu wameganda tu wanaendelea kusikiliza. Unatarajia mtu asiye na uelewa hata chembe wa Neno la Mungu anaweza kuhoji mafundisho ya uongo? Obvious, atakaa na kukubali tu akiambiwa sijui "mafundisho ya ndoto" sijui "kumkomboa mzaliwa wa kwanza"
 
Luka 5:32

"Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi, wapate kutubu.”

____________________________
Kama unajiona huna dhambi basi humuhitaji Mungu, endelea na mishe zako tu ndugu yangu. Acha wenye dhambi wamtafute Mungu ili awape msamaha wa dhambi zao.[emoji120]
 
Nimekupata vizuri Dada Jane, Kwa mtizamo huo uko sahihi.Pamoja sana mkuu na Mtani wangu Kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…